FOR WEDDING PLANNING, FASHION DESIGNING, ART DIRECTION AND STYLING CALL +255 717 514179

Wednesday

Maisha baada ya MAISHA PLUSAnajulikana kama Steve wa MAISHA PLUS lakini jina lake halisi ni Steven Sandhu Mwenyeji wa Arusha!
Mvutko kwanza ilipata nafasi ya kuzungumza nae baada ya kukutana sehemu flani akiwa bussy na maandalizi ya utengenezaji filamu yake na kijana mwenzie wa maisha plus Charles

Steve kwa sasa amejikita katika tasnia ya filamu na uanamitindo na tayari ameshacheza filamu inayokwenda kwa jina la WAKATI
Humo ndani amekamua kama main character! ndugu yangu filamu ni bomba kichizi na inaingia sokoni hivi karibuni! kaa tayari kumcheki dogo humo ndani anavyokamua.Ukiachana na Swala la filamu, Steve ni Tourism operater na tour agent! na anamategemeo makubwa ya kuleta mapinduzi katika ubunifu wa mitindo, hii inamaanisha kwamba jamaa ni fashion designer chipukizi, na anafocus zaidi katika soko la watu wazima! anaamini hao ndio watakaoweza kuendeleza mavazi ya ndani ya nchi!! pia anampango wa kutengeneza nguo zakiume zaidi kuliko za kike!katika watu anaopenda kuwashukuru katika maisha yake ni Mwenyezi Mungu, wazazi wake na DMB ambao hao ndio waandaaji wa maisha Plus!!

Ana mategemeo ya kuwa mtangazaji wa TV!!


Na anapenda kuwaasa watanzania waachane na uvivu na kujishungulisha ili kuleta maendeleo katika jamii Yetu!!Mvuto kwanza inamtakia kiloa la kheli Steve and we Hope he Gonna archive his target!!

1 comment:

  1. Anonymous02:52

    Steve nakukubali kaza buti kwan utafika.....

    ReplyDelete

sema tukusikie