
muda huu hiki ndicho kipo mguuni mwangu!!

I wish ningekipata hiki kwa ajili ya zile party zetu za facebook ambazo dress code huwa ni Casual mara nyingi.. hichi kingeendana na wakati huo!!

Dress code ikianimbia Smart!! I will go with this one!! or the next one down here

Hii itanifaa kwa kuendea beach!!


What is your style??
hahaha we jamaa unaonekana unajipenda sana. sio mbaya na sisi tutaiga
ReplyDeletei love this blog. dont know Y
ReplyDeletemayb u love me and nat the blog? aaha haha ahah just kidding
ReplyDeletewajifagilia kijana
ReplyDelete