FOR WEDDING PLANNING, FASHION DESIGNING, ART DIRECTION AND STYLING CALL +255 717 514179

Tuesday

Each moment in my life is full of happiness


Me and my man!!Najuta kwanini sikuolewa mapema

I wonder kipi kinanifaha mimi hapa!!!!Thanx for being my Fan... nawapenda na kuwajali
Lady Jay Dee, Binti machozi

8 comments:

 1. Anonymous07:18

  jide nakupenda sana, enjoy kwa raha zako

  ReplyDelete
 2. anicia07:19

  Unahitaji kuenjoy mylove umetoka mbali na life yako

  ReplyDelete
 3. ametoka mbali na live yake? kama unamjua vile? au ndugu yake wewe? Bravoo Judith

  ReplyDelete
 4. Anonymous07:51

  wow nice photo of Lady Jay Dee and her hubby Mr. Gardner.....They are Jay Z and Beyonce of Tanzania...........Mungu awabariki na kuwaongoza!
  Love you Jide!

  ReplyDelete
 5. Anonymous10:50

  Wamependeza sana..

  ReplyDelete
 6. Anonymous01:18

  mashalaaah, wanaendana hawa hadi raha. naamini na mimi nitapata soon

  ReplyDelete
 7. Anonymous01:55

  napenda sana nyimbo yako mpya. ile ya malaika

  ReplyDelete
 8. Anonymous02:29

  NAULIZA TU, NI KWELI JID NA KAPT. MNATARAJIA MTOTO?? NILISIKIA KWA MBALI SANA AU NDO MAREDIO MBAO??

  ReplyDelete

sema tukusikie