FOR WEDDING PLANNING, FASHION DESIGNING, ART DIRECTION AND STYLING CALL +255 717 514179

Saturday

Ni aina gani ya Perfume inakufaa??


Mambo mix For You!!


Hah ahha ahha u cant believe hata barack obama Perfume inakufaa kama una dau la kueleweka!!No need to dream any more! they have Dreamer for you!Hii hapa Desire!! man, am sure every woman will be atracted to u as soon she Smells this Perfume in ur body!!
Among the top Selling perfume!! here we have Dorce and GabbanaHave u Tried Kelvin Klein? Man!! this is the best although very Expensive here in dar.
Cool Water ni among the perfumes nazikubali na ndio ninayoitumia(But am using cool water for man)... hii Cool water freeze me inawafaha wadada na ina harufu ambayo hawezi kumkera mtu. i mean manukato yake poa sana

6 comments:

 1. Anonymous07:59

  haya ndo mambo ya kutuwekea kaka yangu. maana wengine tumejaliwa ma boyfriend yenye muonekano mzuri lakini kasoro zao wananuka kwwapa sana, wengine hadi midomo wananuka, jamani uzuri wa mwanaume si sura tuu na usafi unasaidia

  ReplyDelete
 2. Anonymous08:00

  kweli kabisaa wabadilike. weka material mengi tuu hata yanayotuhusu wadad pia kwani nao tunajisahau sana

  ReplyDelete
 3. i like ur blog martin-nice

  ReplyDelete
 4. Anonymous01:11

  sure looh kuna wakaka wananuka kwapa bwana hata akikukumbatia duh unashindwa kurespond

  ReplyDelete
 5. Anonymous01:13

  ila na wengine nao wakaka lakini wamezidi kuwa warembo mpaka unahisi wenzao wanawanaliuu, wawe smart ila sio kidemu demu

  ReplyDelete
 6. Anonymous08:27

  hiyo perfume ya cool water ipo ya kike yake nzurii sana jamani, sijui zinapatikana wapi hapa dar nilinunua last time nairobi ila hapa bongo sijajua zinapatikana wapi. kaka tuambie wapi tutapata jamani

  ReplyDelete

sema tukusikie