FOR WEDDING PLANNING, FASHION DESIGNING, ART DIRECTION AND STYLING CALL +255 717 514179

Thursday

Breaking New!! Nelly Kamwelu,Former Miss Ilala Planning to be Engaged soon



Shines more than never Before.. lol




Kama mastar wa movie yakihindi vile!!



She is among the people i support on whatever she wanna do in her life!! the resoan behind is because she really respect me and understand me!! i met her last week and She was very nervous to tell me what she wanted to tell, in my mind i thought maybe she has problems!! kumbe si chochote zaidi ya hiyo breaking News ya kuwa nategemea kuwa Engaged soon, amekuwa katika relationship for more that 3Years so anaaamini amemjua mchizi vya kutosha na sasa niwakati wake wakuwa Engaged about kuolewa kabisa anasema bado kidogo, itachukua muda kwa yeye kuamua kuolewa kwa sababu anaamini ndoa ni jambo la Heri hivyo si lazima kufanya mambo haya haraka haraka!!

8 comments:

  1. Anonymous01:58

    ila wewe hebu tuambie ukweli huyu ni demu wako? kumbukumbu zangu zinaniambia mshawahi kutolewa katika gazeti la udaku pamoja miezi michache nyuma, kaka tuelezane kama ndo mchumba mwenyewe

    ReplyDelete
  2. hapana ndugu yangu, she is a gud friend of mine

    ReplyDelete
  3. Anonymous02:01

    unadhani atakubali? pigia mstari ndi jibu hilo

    ReplyDelete
  4. pamela02:02

    nyie mbona mnang'ang'ania wake? si kakataa? watanzania bwana always tunapenda kudanganywa.

    ReplyDelete
  5. Anonymous02:43

    Sorry nina swali la kizurishi mdogo wangu, ww ndio yule mdogo wake carline aliyekuwa anakaa Sinza palestina? pls unisiniignore

    ReplyDelete
  6. Yes I am! I cant ignore you

    ReplyDelete
  7. Anonymous07:50

    Good luck my dear Nelly. If this is true, i wish u the best of luck. Sarah Nyamwenge, Uganda's Super Model.

    ReplyDelete

sema tukusikie