FOR WEDDING PLANNING, FASHION DESIGNING, ART DIRECTION AND STYLING CALL +255 717 514179

Wednesday

SAFARI YA MWISHO YA STAR WA FILAMU TANZANIA: STEVEN KANUMBA

MAMA MZAZI WA STEVEN KANUMBA.. INASEMEKANA HAKUWA YUKO FRESHI KIAFYA LAKINI ALIHAKIKISHA ANAMZIKA MWANAE MPENDWA

DADA WA STEVEN KANUMBA HAKUWA NA NGUVU KUTOKANA NA KULIA SANA, SHUKURANI ZA DHATI KWA MBONI MASIMBA NA WENGINEO KWA KUHAKIKSHA MNAMPATIA DADA MSAADA ALIOKUWA AKIHITAJI

RED CARPET ILIKANYAGWA NA BAADHI YA WATU WASHUHURI WALIOHUDHURIA MAZISHI HAYA.. ILA DIAMOND PLATNUMZ NA MWENZIE OMMY DIMPOZ WALIPITISHWA KAMA UMEME KUTOKANA NA WAOMBOLEZAJI KUANZA KUWASHANGILIA NA KUSAHAU KAMA WAMEKUJA MAZIKONI...

No comments:

Post a Comment

sema tukusikie