JUMAPILI HII TANZANIA MITINDO HOUSE TUMETIMIZA MIAKA SABA TANGU KUANZISHWA KWA TAASISI YETU AMBAYO INAHUSISHA WABUNIFU WA MITINDO WA KITANZANIA. TAASISI HII INALEA WATOTO KUMI. |
KLYNN NA NANCY SUMARY WALIKUWEPO PIA. |
FOUNDER WA TMH
MC WA SHEREHE ALIKUWA NI MBUNIFU ASYA IDAROUS |
GREEN WAS SOMETHING IN HERE... MYER WITH MARYAM |
MNADA |
TULIFANYA MNADA WA PICHA ILIYOCHORWA NA MTOTO MMOJA WAPO ANAYELELEWA NA TANZANIA MITINDO HOUSE.
MONICA WA MONFINCE NDIYE ALIYENUNUA PICHA HII KWA THAMANI YA SHILINGI MILIONI MOJA. |
MAMA WA MITINDO TANZANIA ASYA IDAROUS, DESIGNER EDNA, MARTIN KADINDA NA ROSE VALENTINE. |
MODEL, DESIGNERS AND MAKE UP ARTIST KWA PAMOJA. |
MISS MASHA AND HERRY NASSER WALIKUWEPO |
KUTOKA MAGIC FM MISHI BOMBA KUSHOTO NA SALMA MSANGI WALIKUWEPO. |
No comments:
Post a Comment
sema tukusikie