RANGI YA MWAKA 2015 INAITWA "MARSALA"
 |
today lets share a bit about rangi ya mwaka. Imebadilishwa jina kidogo lakini mimi naona kama ni maroon mpauko.. jaribu kuingalia kwa makini unadhani inatofauti kubwa na rangi ya damu ya mzee (marron) |
 |
Wadada unadhani lipstick nyekundu itapumzika? |
No comments:
Post a Comment
sema tukusikie