
Palipo na upenyo mdogo ndipo picha nzuri na yenye mvuto inapopatikana... Best photographer 2010 Raqey mohammed akihakikisha napata picha nzuri ya Mheshimiwa raisi wakati wa kampeni zikiendelea.. mpigaji nae kapigwa....

Kaka wa kazi Raqey,zungu na Erick wakiwa na Ankal katika harakati za kuhakikisha zoezi linakamilika salama
No comments:
Post a Comment
sema tukusikie