Mwenye shughuli Shamim mwasha alisimama kama the Best dressed woman of the day, na Mc wa shughuli hii alikuwa Dina marios wa leo tena nadhani unamwona kwa nyuma hapo
CL na tanzanite full Set zilizovaliwa na Mwanvita makamba meneja mkuu wa masoko Vodacom zilikuwa kivutio kikubwa
Upako ulitua kutoka kwa Julie wa Claus, inapendeza watu wa Mungu wakiungana na wanawake wenzao kusherehekea ujasiliamali wa mwanamke mwenzao
More pictures:http://8020fashions.blogspot.com/2011/11/8020-fashions-ann-red-carpet.html