FOR WEDDING PLANNING, FASHION DESIGNING, ART DIRECTION AND STYLING CALL +255 717 514179

Monday

BLACELETS:SILVER, WHITE GOLD AND DIAMONDS

Katika Fashion kuna mambo mengi ya kuzingatia ambayo yanakupa muonekano wa tofauti hasa kwa mwanaume wakileo kama wewe ambaye unapata muda wa kutembelea blog hii au hata kwako dada ambaye unamjali na kumthamini Doctor wako (boyfriend&husband)

Kuna blacelet za aina nyingi hii ni kutokana na mahitaji yetu kutofautiana, maybe ni kutokana na utofauti wa rangi za ngozi zetu au tabia tulizonazo! kwa mwanadada kama Doctor wako ni mtu mweny rangi nyeusi kama yangu ni vyema kumvalisha White Diamond au White Silver kwakuwa inamfanya ang'ae na kuonekana yuko smart hata kama atakuwa amevaa nguo ambazo zinarangi nzito
Every designs within the Blacelet has a meaning, jitahidi kujua michoro iliyokatika blacelet hizo zina maana gani au asili yake ni nini? kwanini uvae kitu usichoelewa maana na kwanini kipo hivyo!!
Kujua maana halisi ya Design ya blacelet yako itakupa confidency ya kutembea kifua mbele kwakuwa utakuwa na uhakika wa nini umevaa!! just imagine unakutana na mtu barabarani anakuuliza eh? unajua maana ya hili jiwe katika blacelet yako? am sure kama hujui utabaki unang'aa macho tu
Kwa upande wangu napenda Blacelets ambazo ziko simple na sio nyembamba sana!! mwanaume unaj=hitaji kitu kizito kidogo mkononi mwako
Hiyo hapo chini inawafaa vijana wenye age ya 18-24
Muungano wake ni Imara na hauwezi kuachiana mapema
Kwa wenye rangi nyeupe hiyo hapo juu itawafaa

inategemeana na aina ya kile unachokitaka! kuwa makini katika uchaguzi

2 comments:

  1. Anonymous23:48

    thanx kutupa vitu vzuri,sasa maana ya michoro ama muonekano wake ntaupata wapi jamni? lily

    ReplyDelete
  2. Anonymous03:43

    Hey Martin, you are so boring you know. How come we go through your blog for two weeks and find same things?
    You think you cant handle the issues, better close you site.
    We are trying to take uor time and find something new, but you fail to be on time.

    ReplyDelete

sema tukusikie