FOR WEDDING PLANNING, FASHION DESIGNING, ART DIRECTION AND STYLING CALL +255 717 514179

Monday

RED ALERT........ #WEEKEND #BONGOTAMBALALE #JACKIE PATRICK #MARTIN KADINDA

I HAVE LEARN ON THING... LIFE IS NOT ABOUT HOW MANY FRIENDS YOU GOT... OR HOW HAPPY YOUR WITH YOUR GIRL/MAN .... IT IS ALL ABOUT HOW SPEACIAL YOU BECAME IN SOMEONE'S LIFE.......GROWING UP TOGETHER TOKA ENZI ZA TUNAISHI KATIKA NYUMBA ZA JESHI.. YEYE AREA J NA MIMI AREA C MPAKA LEO HII NI KITU KINANIFANYA NIWE NAE AS SOMEONE IN MY LIFE.MAJI MAJI...

KADIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIINDA.


KUNA KITU KINAITWA INSTAGRAM.. THATS WAS INSTAGRAM MOMENTS...
RED ALERT.... MY CAPPACHINO

NAFUNGA UKURASA WA CUP OF COFFE KWA WIKIEND HII YA 4TH NOVEMBER

9 comments:

 1. Anonymous01:52

  kwa hiyo ndo unamaanisha , nini , huyu si mke wa mtu ? we mkeo au girl friend wako angefanya unavyofanya ungeona sawa , ovyo ,

  ReplyDelete
 2. Anonymous02:25

  huyo si mke wa mtu huyo? kweli bongo ulaya these days

  ReplyDelete
 3. Anonymous04:42

  huyu dada si ameolewa? au ndoa imemshinda? we martin nawe ovyooooooooooooooo mfyuuuuuu

  ReplyDelete
 4. Anonymous22:14

  Gazeti la sani ndo wemekuumbua, unajua kuna vitu vingine si lazima uonyeshe hadhara. Take it or live it, its your choice.

  ReplyDelete
 5. Anonymous02:00

  This ain't cool at all

  ReplyDelete
 6. Anonymous07:13

  kaaaz kweli kweli

  ReplyDelete
 7. Anonymous04:35

  mke wa mtu sio ishu, we unaona poa mshikaji yuko nondo ndo unaona ujiachieeeeeeeeeeee.......maphoto nini....unaonekana sio mjanja au kama mjanja basi una upeo mdogo...hebu fanya ingekua ndio wewe?

  ReplyDelete
 8. Anonymous03:53

  bro mkanda huo; yan wakificha sura waoneshe part ya belt ntakujua ni wewe, huna mwingine kwani?

  ReplyDelete
  Replies
  1. Anonymous15:06

   Mdau kula tano,nimekupenda bure! Nilidhani ni mimi peke angu nimegundua,usibanie hii we kadinda

   Delete

sema tukusikie