Looking sooooooooooooo Good!!
Monday
Most talented model 2008-2009 Met Miss Tanzania 2007

Katika pita pita zangu nilifanikiwa kukutana na miss 2007 ambae anasifika kwa kutokuwa na skendo!! i love her for realy!! She is a very nice chick and i wish ningemfanya awe mke wangu!!
Thursday
Designer anaetamba South Africa
Monday
wadau tunapokutana katika Red Carpets
Best couple in Town award goes to.......................
Mr& Mrs Raqey mohammed

Wife: Stylist, make up artist and director of Summer mix Collection

Husband: Fashion photographer and Director of I view Media

Kuna safari ndefu mpaka kuja kupatikana another couple kama hii... maybe the next one will be mine

Wife: Stylist, make up artist and director of Summer mix Collection

Husband: Fashion photographer and Director of I view Media

Kuna safari ndefu mpaka kuja kupatikana another couple kama hii... maybe the next one will be mine
mvutokwanza Design on Lady In REd

Silvia Shari Miss Ilala 2008-2009 catwalking during lady in red... and the dress was Designed by Martin k.
Me and her
Sunday
Huyu Hapa
Baada ya mbio ndefu ya viatu virefu wanamitindo wa kitanzania wameamua kuanza maisha mapya ya ndoa na kuishi kama mam wa familia..... Felician ndio alikwa model wa kwanza kufunga ndoa, akafuatiwa na Carolyn Peter (Smilling faces). Lilian au Aimar kama anavyojulikana sasa alifuata na habari nzuri zaidi ni Prisca(Malkia wa mwendo wa paka) Ameamua kuachana na ukapela na mapema mwezi huu anatarajia kufunga ndoa!!
Mvuto kwanza inamtakia Prisca maisha mema ya ndoa ....... Bravo?? Sasha na wewe lini??
Friday
Thursday
New Year... New Life

Mara nyingi watu wanadhani furaha yako inatokana na vitu ulivyonavyo au rafiki ulionao!! lakini kwangu nimegundua furaha ninaipata kwa kuenjuoy life without thinking abou anything else!! only me and my lifestyle.. i dont get stressed or even drop a tear because am happy always!

smiling
Uwoya Azidi Kung'ara...Cyplus

Mlimbwende aliyepata kutesa katika tasnia ya urembo tanzania na baadaye kujikita katika uigizaji filamu Irene Panclas Uwoya na sasa mama Ndikumana ameonesha kuzidi kupeta kimaisha.. nikizungumza nae hivi karibuni Irene anasema Anapenda kumshukuru Mungu kwani ndio anayejua mipango ya maisha yake....

Am happy for u Irene.. hope unakumbuka kukurukakara za sinza palestina!!! ahah aha aha ha am kidding
Sunday
Taylor is back with his ex?

Hottest best-paid teen on the planet, Taylolr Lautner, 17, was spotted dining with his on-off girlfriend Sarah Hicks at the Olive Garden restaurant in LA yesterday.
Dressed down and low-key the duo was accompanied by Tay’s dad, Dan Lautner for a dinner date looking like, well, friend.

The last time the on-again-off-again couple were spotted together in late July 2009 when the rumors of Tay Squared romance first emerged.
Thursday
miaka 50 ya Asia Idarous

Hivi haya matabasamu yametoka moyoni kweli?We Ali mbona umejimodosha badala ya kutabasamu kama wenzio?? Mustafar Hassanali aliudhuria shughuli hii ingawa alikuwa na uchovu wa safari....mzee wa libeneke pia alikuwepo...

Super Models walikuwepo pia kushuhudia mama Yao akizaliwa....Fidelin Iranga ndo aliongoza safu ya upigaji vigeregere bwana....

Aly rehmtulah alionyesha upendo wa dhati kwa binti yetu aliyezaliwa leo!! Ali kumbuka huyo mtoto wetu Khamsini alishaweka order kabla hata ajazaliwa...

shampagne... kama kawaida I-view photography waliletaa uhondo zaidi katika party hii... International Photographer Raqey akimmiminia Mtoto wetu non alcoholic Shampagne

Mlezi wa TMH ndio alikuwa Mc wa party hii ya mama Asia Idarous, Bi Hadija mwanamboka!!

Jana usiku Bi Asia idarous {mbunifu wa mavazi mkongwe TZ} amefanya party ya kumshukuru Mungu kwa kufika umli huo... shughui hiyo iliyofanyika katka ukumbi wa Regency park hotel, mchana ilitanguliwa na shughuli ndogo ya mbunifu huyu kutoa msaada kwa watoto Yatima na waoishi katika mazingira magumu hii yote ni katika kuonesha ni jinsi gani anathamini wenye shida.. ni jambo la kupendeza na kufurahi Asia leo kawapa hawa na sisi wabunifu na wanamitindo na wadau wa mitindo tusisahau kama tunawatoto wanaoishi na virusi vya ukimwi wanaohitaji msaada pale TMH {Tanzania Mitindo House}
Saturday
Shinning Star!!

Vannesa Mdee still shines like never before!!! hapa akiwa jukwaani anaendesha show ya finali ya Kisura wa Tanzania kwa mwaka huu 2009...
Daim Vannesa!!
Subscribe to:
Posts (Atom)












