FOR WEDDING PLANNING, FASHION DESIGNING, ART DIRECTION AND STYLING CALL +255 717 514179

Thursday

Big Names to Be Seen!!Rommy jones ni mmoja kati ya vijana machachali wenye nia ya kuleta maendeleo katika tasnia nzima ya burudani!! ni mwanamuziki na pia amejikita zaidi katika luninga hivi sasa! ni moja wa vijana wanaotegemewa kutingisha jiji pindi Cloud Tv itakapo anza kurusha vipindi vyake mapema mwaka huu!!


Lets wait ang See

Jamaa ni photogenic pia eh?

No comments:

Post a Comment

sema tukusikie