FOR WEDDING PLANNING, FASHION DESIGNING, ART DIRECTION AND STYLING CALL +255 717 514179

Saturday

Miaka Mitatu ya TMH yafana

mmoja wa watoto waliojitokeza katika fun day ya mitindo house ikiwa imetimiza miaka mitatu tangu kuanzishwa kwake!!

Tunamatumaini mapya na maisha yetu ya baadae! shukurani za dhati kwa TMH kwa kutambua umuhimu wa mtoto kuwa na eneo la kucheza!! 

Wanamitindo kutoka Allure International walikuwepo katika Hafla hii maalumu ya mlo wa mchana

Mwenyekiti wa TMH akiwa anapata upepo kabla ya kuanza kwa shughuli!! nimeipenda cocktail yake!! so simple!!

Nakukuruka mwanangu hapa nipo salama....

Double tree walikuwepo kuungana na Wana TMH.. shukurani kwao kwa kuwezesha shughuli hii.

Michezo ni mingi kwa watoto.. hata kuchorwaa usoni ni moja ya michezo wanayoipenda

Mwenzangu mbona picha zenyewe mbaya hivi? no mvuto kabisa.. am not sure kama nitaonekana katika hiyo blog ya mvuto kwanza

We unakazana kupiga picha instead of kunisaidi!! we mwanaume gani?? 

 

It feels so good to take a picture with you!! maneno ya Gaga hayo na bibie Rehema!! asanteni wadada

Best fashion journalist maimuna kubegeya nae alikuwepo!!

Ma Legendary walipokutana.. ni mapozi na maumodo kibao juu yao..

Ukiachana na ubunifu...Jamila swai analiweza soka pia!! cheki vumbi miguuuni..

smile please...

Mwenyekiti wa TMH Khadija mwanamboka akitoa machache ikiwa ni shukrani kwa wote waliojitokeza na kuwashukuru wadhamini wa shughuli hii ambao baadhi yao ni Double tree by hilton

Washiriki wa Bongo Star search walijumuhika na watoto pia...


Most fashionable lady Marsha akiwa ndani ya animal print akisaidiana na Rehema kuhudumia watoto

Kimora Lee akiteta jambo na bongoland Gaga....Mwenyekiti wa TMH akipokea zawadi mbali mbali kwa ajili ya watoto kutoka KLM

mama 8020fashions nahisi anataka kumrithisha kipaji cha ujasiliamali binti yake Iqra

mmmmh!! hapa pazito shoga yangu...

picha ya pamoja nje ya TMH fun centre!!


i truly loved this kid.. so charming

No comments:

Post a Comment

sema tukusikie