FOR WEDDING PLANNING, FASHION DESIGNING, ART DIRECTION AND STYLING CALL +255 717 514179

Friday

2010 Top 5 Runway Models

1. Myler Jamillah Nyangasa!! but when it comes to her career anatambulika zaidi kama Myler!! Kwa mwaka mzima ndio amekuwa model anategemewa kwa kufungua show!! kwa tanzania She is our first face....Ameongoza kwa mwaka huu katika Runway!

2. Evanuru... mmoja wa Wanamitindo ambao huwa nawaita zima moto kwaTanzania... anaokoa jahazzi la show kila inapoonekana kulega lega.. muonekano na uwezo alionao kuimiliki stage umemfanya aweze kufanya show nyingi kwa Mwaka huu


3.Alexia.... Utofauti wa mwili na mwendo wa madaha awapo jukwaani huteka hisia na mawazo ya wapenzi wa fashion tanzania... nafasi ya tatu ni halali kwake

4.Rihama...... mmoja kati ya wasichana wachache walioanza modelling kitambo lakini wamefanikiwa kumiliki stage na kuonekana na mvuto kila wakiibuka na Vazi la mbunifu yoyote!!

5.Neemah!! namtambua kama makutano Junction maana kila kimeo lazijma utakutana nae...anafunga list yangu ya wanamitindo bora zaidi watano wa juu ya stage kwa mwaka huu!!

No comments:

Post a Comment

sema tukusikie