FOR WEDDING PLANNING, FASHION DESIGNING, ART DIRECTION AND STYLING CALL +255 717 514179

Friday

Word of Apology


It has been a long time since i up dated things in my blog.. najisikia vibaya sana si kwasababu napenda ila nikubanwa na majukumu mbali mbali ila kubwa ni shule!! nimegundua kuna wadau wengi ambao mmekuwa mkitembelea blog yangu kila siku na wengine kuni email kuwa ninachofanya si vizuri.. natambua umuhimu wa kuweka habari mbail mbali hapa mara kwa mara ili nisiwapoteze wapenzi wa blog hii ila ningeomba ieleweke kuwa nahitaji pia kuzingatia masomo yangu ila kuhakikisha najiandalia maisha yangu ya baadae and not only blogging everyday!! ninapopata time nitakuwa nahakikisha mambo yanakwenda sawa!! Nipo katika mitihani ya Finals for my second semister na nadhani ni muhimi kuzingatia mitihani hii kwani sipo tayari kurudia mitihani kwa kushindwa kufikia wastani unaonatakiwa.. namshukuru Mungu tangu nianze elimu yangu sijawahi kurudia mitihani kwa kushindwa kufikisha wastani ila nadhani kwa sasa nikizidisha blog na kuparty nitajiharibia haka ka historia nilikojiweke!! Soon i will be back na tutapeana utamu kupitia hapa hapa!!
Martin Kadinda aka Survivor

No comments:

Post a Comment

sema tukusikie