
hiki ni kiatu namba moja katika maisha yangu... if it happens unataka kuniletea zawadi!! ukinilete Converse utanifurahisha milele na milele!!

Niliwahi kuwa na Sneaker kama hii from Levis.. niliipenda sana too bad ndugu zangu waliipenda zaidi ikabidi niwaachie!! but kwa kiatu sneakers zinanifanya niwe comfortable kichizi!!
No comments:
Post a Comment
sema tukusikie