
Harre Berry akiwa na mam yake Judith Kitaa!!

Paris hilton akiwa na mama yake siku ambayo bibi huyo alikuwa akisherehekea siku yake ya kuzaliwa!! hapo mama yake paris hilton alikuwa akitimiza miaka 51

kitu cha Ben Affleck nae na mama yake Chris Affleck

Russell Brand akina na mama yake Barbara Elizabeth

Kim Kardashian and mom Kris Jenne sijui hapa walikuwa wapi ila wametupia mbaya!!

Dogo Justin Bieber (R) na mama yake Pattie Mallette wakiwasili katika Annual GRAMMY Awards za 52 zilizofanyika ndani ya Staples Center January 31, 2010,Los Angeles, California

Mwimbaji Ashlee Simpson akiwa na mama yake Tina Simpson ndani ya Los Angeles

Miley Cyrus na mama yake.. wakifanya shopping ndani ya Studio City.
Wapi mastaa wetu wa bongo na mam zenu? au mmewatelekeza vijijini??
Ahah ahahah I like that... wamewatelekeza vijijini for sure, wengine hata midomoni huwa hawawataji ata ile ya kudanganyia tu utafikiri wameshushwa...!!
ReplyDelete