FOR WEDDING PLANNING, FASHION DESIGNING, ART DIRECTION AND STYLING CALL +255 717 514179

Monday

Beyonce The most powerful Black Woman in the U.S

Usiku wa Agosti 10 ticket za Concert ya 4 Intimate Night With Beyonce ziliuzwa ndani ya ya sekunde 30 ambapo jarida la People lilimtangaza Beyonce kushika nafasi ya kwanza kwa Mastaa weusi wenye nguvu ndani ya Marekani, Nafasi hiyo imekuja baada ya mwanadada huyu kufunga mauzo yake ya ticket kwa muda mfupi zaidi, Beyonce ameshika nafasi ya kwanza kwa Mastaa weusi wenye nguvu Marekani huku nafasi ya pili ikikamatwa na Oprah Winfrey na Ya tatu ikishikiliwa na Mke wa Raisi wa Marekani Michelle Obama.


No comments:

Post a Comment

sema tukusikie