FOR WEDDING PLANNING, FASHION DESIGNING, ART DIRECTION AND STYLING CALL +255 717 514179

Tuesday

Men: Do want to Smell Good and Sexy??

Kila Mwanaume anapenda kunukia vizuri na kuongeza mvuto katika muonekano wake wa kila siku,With thousands of perfume out in the market choosing the right one is a hideous task, lot of smelling and an occasional wasting of your few bucks by buying that perfume that does not suit you, You need to be very careful on this, Hizi nazokutajia hata chini ni Perfume ambazo zimekuwa kivutio kwa wanawake wengi kuwanunulia wapenzi, kwakuwa wewe ni mwanaume mwenzangu nadhani ni vizuri ukizijua perfume hizi na ukaanza kuzitumia mapema kabla haujaletewa kama zawadi na shem na ukaona kama anakukejeli, wakina dada pia mnaoniletea zawadi za perfume mara nyingi si mbaya mkiletea moja kati ya hizi...
Majina yanaonekana Vizuri lakini si mbaya nikikuandikia na kukupa sifa zake japo juu juu.... hii inaitwa Aqua di Gio ni number moja kwa kusifiwa na wanawake, inakaa mwilini kwa muda mrefu na kinachonifurahisha ni mchanganyiko wake ambao umehusisha calabrian bergamot, neroli na green tangerine. Light, aquatic nuances ikiwa na jasmine petal, crisp rock rose, rosemary, fruity persimmon and warm Indonesian patchoul

Bvlgari Extreme (bulgari Hii ilizinduliwa mwaka 1999 na imeweza kufanya Vizuri katika soko la Perfume mpaka leo hii naipa nafasi ya Pili kwa perfume bora zaidi za kiume.

DOLCE & GABBANA Light Blue inaitwa Light Blue ni Product ya Dorce and Gabanna ni nzuri sana tu, kinachonifanya niipende na kwanini imetokea kupendwa na watu wengi, ni Imepoa sana, haina harufu kali, inaheshimu na staha za kiume
Cool Water ya Davidoff Nakumbuka hii niliinunua katika ndege Wakati natoka Zambia, Ukweli sio kwakuwa nilikuwa najua ni nzuri ila nilivutiwa na jina lake na katika ile duty Free hii ndio ilikuwa perfume kubwa lakini yenye bei yenye unafuu, nakumbuka niliinunua kwa dola 45 tu, nilipoanza kuitumia Daah kabla sijatoka home dada zangu tu, Martin u smells good, i loved this perfume so much
Lacoste Red Style in Play hii Pefume ilitoka mwaka 2004 navyokumbuka na hata mitandao inaonyesha hivyo, inakufanya unukie kiujana zaidi hata kama age yako imeenda, pia ina harufu flani kama ya apple la kijani,

Ya mwisho kwa Leo ni Armani code, Kwa wadada this just a Warning For you guys THIS FRAGRANCE IS VERY SEDUCTIVE!!! :)

2 comments:

  1. Anonymous02:12

    yeah nakubaliana na wewe na AQUA DI GIO, ARMANI CODE, BVLGARI-EXTREME NA D&G-LIGHT BLUE, pia ongeza BVLGARI-AQVA, POLO BLUE by RALPH LAUREN, EUPHORIA FOR MEN by CALVIN KLEIN(CK), XY by HUGO BOSS, BstarMEN(ANGELB) in red box/bottle by THIERRY MUGLER,UNFORGIVABLE FOR MEN by SEAN JOHN, Hizo zote ninazo (nazitumia) they are best perfumes zitafute utaniambia, nyingine nitaendelea kukuambia.... mimi pia niko addicted na perfume, m based in arusha, accountant by proffessional, have a good day!

    ReplyDelete
  2. Anonymous15:02

    giorgio armani Code ,acqua Di gior... ni balaa nzuri sanaaaa my dear ndio anatumia ukitumia wifi hawezi kukuacha....aaah yaani atatamani akukumbatiiie tuu mda wote so sweeet ila upate original

    ReplyDelete

sema tukusikie