
Blogger Shamim mwasha, si unajua swala la mwezi mtukufu

Honestly speaking, watu walionekana tofauti sana mwezi mtukufu umefanya watu wajisitiri

Dina Marios kutoka cloudsFm alijitupia ndani ya Kitenge na kuwa na muonekano wa "Back To Africa"
Fight for Sight Charity Gala Night nikiwa na Fashion Designer Asia Idarous na Giver Meena

Usherz walikuwa wakikaribisha wageni katika Hafla hii
No comments:
Post a Comment
sema tukusikie