FOR WEDDING PLANNING, FASHION DESIGNING, ART DIRECTION AND STYLING CALL +255 717 514179

Saturday

Denim Jeans ni Chaguo la Celebrities Wengi

MASTAA WENGI WAMEJIKITA KATIKA DENIM JEANS KWASABABU NI MOJA YA AINA YA JEANS AMBAYO INAKUFANYA UWE HURU ZAIDI, INAMUONEKANO FLANI AMBAO UOO ROUGH NA IPO SO CASUAL........ MARA NYINGI UKIWA NA SHUGHULI ZAKO NDOGO NDOGO, MFANO SHOPPING OR UNA MITOKO YA MCHANA KATIKA SHUGHULI NDOGO NGODO DENIM JEANS IKO POA SANA, CHECK PICHA CHINI HAPO..........


DENIM JEANS SIO KWA UPANDE WA SURUALI, PIA KUNA MAKOTI NA KOFIA ZA DENIM

No comments:

Post a Comment

sema tukusikie