INA SEBULE MBILI... MOJA MABYO NI TV ROOM NA YA PILI NI SITTING ROOM.. HII JUU NDIO TV ROOM NA CHINI NI SITTING ROOM
CHUMBA ANACHOLALA WEMA SEPETU.. NIMEKUTANA NA DRESSING TABLE MBILI... MASSAGE CHAIR PAMOJA NA MINI SALOON
|
ANACHUMBA PEMBENI AMBACHO NI KWA AJILI YA VIATU NA NGUO.. MINI HOUSE WARDROBE ROOM |
ANASEHEMU MAALUM YA KUFANYIA INTERVIEWS NA MEDIA HOUSE MBALI MBALI KAMA UMUONAPO HAPO PICHANI AKIFANYA INTERVIEW NA ZAMARADI
THIS IS A SMALL SET UP FOR INTERVIEWS WITHIN HER HOUSE.
|
KAZI YANGU KAMA MENEJA NI PAMOJA NA KUHAKIKISHA MSANII WANGU ANAISHI MAISHA YA KIFAHARI KAMA AMBAVYO MASTAA WANAISHI. |