FOR WEDDING PLANNING, FASHION DESIGNING, ART DIRECTION AND STYLING CALL +255 717 514179

Friday

HERE WE GO AGAIN.......SINGLE BUTTON FOR URBAN GENTLE LOOK BY MARTIN KADINDA, MARCH CAMPAIGN FEATURES BONGO FILMS DIVA Wema Abraham Sepetu AS QUEEN OF THE MONTH........ YOU GOT YOURS??

WAS HAPPY MEETING WEMA THIS DAY AGAIN AS AM HER OFFICIAL MANAGER, THEN WE MOVED TO  FITTING AND SHOOTING FOR MY NEW CLOTHING LINE CAMPAIGN.. NAPENDA PICAHSO BEFORE KAZI TULIPIGA PICHA KUHAKIKISHA MWANGA UKO SAWA..

HATUA YA PILI IKAFUATA KUCHAGUA MOJA YA MAKOTI NINAYOYATENGENEZA ILI KUPATA MOJA LINALOMFAA KULINGANA NA KAMPAINI NINAYOIFANYA KABLA MODELS WENGINE HAWAJAFIKA...
NA HILI NDIO BANGO (TANGAZO)LA MWEZI HUU KWA CAMPAIGN YA HII DESIGNS YA MAKOTI NINAYOYATENGENZA KWA SASA... JIPATIE LAKO KWA AJILI YA MSIMU HUU WA KUPENDEZA(KILIMANJARO MUSIC AWARDS SI UNAJUA SWALA LA RED CARPET PALE KATI....) NA SINGLE BUTTONS BLAZER

10 comments:

 1. i love the coats how much do they cost

  ReplyDelete
 2. Anonymous09:30

  hey martin where can we get those cots of urs ili tuwe aware of how are we going to get them and if possible for how much it cost for each one

  ReplyDelete
 3. Tyna09:56

  The makoti are rly nyc!kwa yeyote anayejua fashion...nmependa unavyofany kaz na ma no one female muv star..kip it up

  ReplyDelete
 4. ITS MOBILE FASHION MOVEMENT.... MY NUMBER +255769754774 HOLLA TO GET YOURS PLEASE

  ReplyDelete
  Replies
  1. Anonymous23:58

   Martin unatulate down unaboa... umeweka namba ya nini sasa kama hata kujb msg hujibu wala cm hupokei..?? I need that blazer with single button, kama zinapatikana tujulishe basi

   Delete
 5. Great collection,well done.

  ReplyDelete
 6. Anonymous23:10

  how much is the cost ..ili mtu ajue coz kuna walio nje ya nchi pia wanaweza wakaagaiza friends kuwanunulia so weka bei puliz

  ReplyDelete
 7. Anonymous03:06

  wow i like the cots their very nice, keep it up brother.

  ReplyDelete
 8. Anonymous23:55

  Martin you are good! where can I get your products?

  ReplyDelete
 9. Anonymous13:50

  Martin wema anakutia aibu hapo amejichubua kama Michael Jackson... mhhh mikono myeusiiii makovu miguuni mhhh anatisaha bwana...

  ReplyDelete

sema tukusikie