FOR WEDDING PLANNING, FASHION DESIGNING, ART DIRECTION AND STYLING CALL +255 717 514179

Thursday

{HUU NDIO MSIBA WA JACKIE CLIFF}FROM WEDDING PLANNER TO FUNERAL PLANNER WA JACKIE CLIFF

JACKY CLIFF MRS TEEF..........

MCHANA WA LEO NIMEPATA NAFASI YA KUONGEA NA JACKIE CLIFF AMBAYE KWA SASA YUPO NJE YA NCHI KWA AJILI YA KUKUSANYA MZIGO WA DUKA LAKE JIPYA AMBALO LINA SLOGAN YA VIP COSMETIC LOUNGE MAENEO YA MIKOCHENI AMBALO BADO HAJALIPA JINA KAMILI AMESEMA, AMEFIKIRIA SANA JUU YA MAISHA YAKE KAMA BINADAMU NA KUGUNDUA IPO SIKU ATAKUJA KUITWA MAREHEMU NA ANASEMA AMEGUSWA NA MSTARI MMOJA KATIKA BIBLIA AMBAPO UNASEMA INABIDI BINADAMU KUKAA TAYARI MAANA HATUJUI SIKU WALA SAA YA KUKUMBWA NA MAUTI YETU, HIVYPO ANGEPENDA IKITOKEA AKATANGULIA MBELE YA HAKI NA MIMI NI ANGALI HAI NISIMAMIE MAZISHI YAKE KAMA NILIVYOSIMAMIA MPAKA NDOA YAKE KUFUNGWA... PICHA JUU HAPO INAONESHA ALICHOANDIKA KATIKA UKURASA WAKE WA BBM KUWA "IKITOKEA NIMEKUFA WOSIA MARTIN KADINDA ANAMAAGIZO ANAJUA CHA KUFANYA.. DONT ASK"

ANASEMA ENDAPO ATAZIKWA MKOANI KWETU KULE IRINGA ANGEPENDA AZIKWE CHINI YA MTI MKUBWA ENEO LENYE KIVULI NA ANGEOMBA MKAO WA WAOMBOLEZAJI UWE WA MZUNGUKO KWAKUWA ANAAMINI HAPO NDIPO BARAKA ZINAWEZA KUTOA KULIKO TUKIKAA MAKUNDI MAKUNDI....

NA AKAONGEZEA IKIWA ATAZIKWA HAPA JIJINI DAR ES SALAAM ANGEOMBA MSIBA UWEKWE ENEO LA NDANI LENYE AC ZA KUTOSHA MAANA ANAJUA RAFIKI ZAKE NI WATU WA MASHAUZI WANAPENDA VITU  VIZURI, RANGI KUU YA MAPAMBO YA MSIBA WAKE ANATAKA YAWE PINK NA PURPLE KIDOGO

HII NDIYO GARI ANAYOTAMANI IMPELEKE ENEO LAKE LA MAPUMZIKO MPAKA SIKU YA HUKUMU....KWA WALE WANAWAKE WENYE MATATIZO YA MIGUU WASIWEZA KUVAA VIATU VIREFU MUDA MREFU HIKI NI KIATU ANGEPENDA MVAE, ANATAKA MSIBA WAKE UWE WAKIPEKEE

ANAOMBA SANA WANAWAKE WENYE HELA ZAO, NA SISI WANAUME TUNAOWAPENDA WAKE ZETU TUWANUNULIE CL SHOES ORIGINAL.. ANASEMA NI BORA UENDE PEKU PEKU KULIKO KUVAA CL FEKI YA KICHINA. VAA SOKSI AU STOCKINGS KUEPUKA VUMBI KWA KULE KWETU IRINGA


LIPSTICK YA PINK KWA WAUZURIAJI WOTE ITAFAA ZAIDI ANASEMA.. ANAPENDA PINK BASI MMUENZI MWANAMKE MWENZENU KWA KUPAKA KILE APENDACHO....

ANASEMA MAC  COSMETICS ORIGINAL ZITAKUWA ZINAFATIKA DUKANI KWAKE HIVYO ILI KUWEZA KUINGIZIA KIPATO CHA KUWEZA KUJIENDELEZA KIELIMU KWA WADOGO ZAKE ANAOMBA MNUNUE  MAPEMA ILI AWE NA URITHI WA KUELEWEKA KWAO KUTOKANA NA DUKA LAKE.HIKI KIATU ANASEMA NDICHO ALICHOKINUNUA KWA GHARAMA KUBWA WAKATI WA HARUSI YAKE NA AMENUNUA KINGINE PIA KWA SASA.... HIVYO KWA MAPENZI YA DHATI ALIYONAYO KWA HIVI VIATU VYAKE ANAOMBA VIWEKWE KATIKA MAKUMBUSHO AU AZIKWE NAVYO.
KWA KUTAMBUA URAFIKI MZITO ALIONAO NA MAID OF HONOR WAKE BELINA TYRA MGENI, ANAOMBA NDIO ATENGENZE SARE ZA WAOMBOLEZAJI WAKIKE KWAKUWA BELINA KWA SASA AMEJIINGIZA KATIKA UBUNIFU NA ANAMWAMINI
KATIKA WOSIA WAKE NILIPENDA PART HII AMBAPO AMEOMBA MARTIN KADINDA KUPITIA SINGLE BUTTONS ZAKE AMBAZO ZINASIMAMIWA NA WEMA SEPETU PIA.. TUHAKIKISHE WAGENI WAALIKWA WAKIUME WANATINGA SUTI HIZI ZA AINA YA SINGLE BUTTON.

ANASEMA BAADA TU YA KUMFUKIA ANAOMBA BAND YA MACHOZI BAND IWABURUDISHE WAGENI WAALIKWA.. LENGO NI WASAHAU KWAKUWA HADHANI KAMA KULIA NA KUSIKITIKA KUTABADILISHA UKWELI WA KWAMBA YEYE HAYUPO TENA NA SISI..... NA AMECHAGUA MACHOZI BAND KWAKUWA ANAJUA NDIO BAND PENDWA KWASASA INAYOPIGA MZIKI MZURI USIO NA KELEL WALA PURUKUSHANI.

NIMEKAA NAFIKIRIA SIKU HIYO ITAKUWAJE? NIKITANGULIA MIMI JE? NANI ATAIFANYA HII SHUGHULI MAANA NI NZITO........

9 comments:

 1. Anonymous20:02

  Huyu fashenista kiboko sasa hivi ni vituko vya mastaa tanzania

  ReplyDelete
 2. Anonymous20:05

  Matin wewe na huyu dada muna uhusiano gani?maana muko karibu sana au ni kama tulivyosoma magazetini ni ua kweli ni mtu wako

  ReplyDelete
 3. juana gal02:16

  kauli zote zimekaa kibiashara zaidi wapendwa mhhh lipsick cjui ohhh mara suti km zile mara band hakuna lolote mjini watu wananjia nyingi za kutafuta hela jamn

  ReplyDelete
 4. Anonymous05:07

  eheheheheeeee.lol.i love ur marketing approaching brother.big up.

  ReplyDelete
 5. Anonymous01:36

  mh wizi mtupu!,....

  ReplyDelete
 6. Anonymous06:11

  mi naona ushuzii tu hapa,

  ReplyDelete
 7. Anonymous05:57

  HUU UTANI......toeni hela huko kwa watoto yatima badala ya all this crap mnataka kwenye msiba.....if your dead,we'll honor you lakini siyo kwa style hii ma dia......da!!lipstick part..mmh..mnatangaza biashara 2....

  ReplyDelete
 8. Anonymous11:11

  hapa umesahau less wigi na kope lol

  ReplyDelete
 9. Anonymous17:10

  make sure kabla hujafaumesave for you so called funeral!!!!!usitake kusumbua watu.

  ReplyDelete

sema tukusikie