FOR WEDDING PLANNING, FASHION DESIGNING, ART DIRECTION AND STYLING CALL +255 717 514179

Saturday

USHAURI: ARE YOU GOING OUT FOR A DATE?

ANGALIZO LA UVAAJI ENDAPO UTAKUWA NA MTOKO WA KWANZA NA MPENZI WAKO MPYA AU JAMAA AMBAYE UNATEGEMA ATAKUWA MWENZI WAKO HAPO MBELENI, SWALA LA KWENDA KWENYE DATE LINAFURAHISHA NA LINASISIMUA KIUKWELI, TATIZO LIPO KATIKA UCHAGUZI WA NINI KUVAA KWA SIKU HIYO..... WENGI WENU HUWA MNARUKWA NA AKILI UKISIKIA YOU NEED TO GO OUT FOR A DATE.. NI MUHIMU SANA KUVAA KITU AMBACHO KITAKUFANYA KUWA HURU NA NI KOSA KUBWA KUTAKA KUVAA TOFAUTI NA ULIVYOZOEA EITHER KWAKUWA TU FLANI HUWA ANAPENDEZA UKATAKA KUMUIGA SIKU HIYO, NDUGU YANGU UTAUMBUKA KWA KUPIGA MWELEKA MBELE YA MCHIZI.
PICHA HAPO JUU NI MWONEKANO MZURI AMBAO UNAWEZA KUONEKANA NAO ENDAPO NI DATE YA LUNCH TIME AU BAADA YA SAA YA KAZI

UNATAKA KUONEKANA MSICHANA WA KAWAIDA USIYEPENDA MAKUU... HII MAXI SKIRT ITAKUFAA,

Look three has that boyish feel about it. At the same time, it’s elegant and modern. If the weather is cold, wear a pair of dark

No comments:

Post a Comment

sema tukusikie