FOR WEDDING PLANNING, FASHION DESIGNING, ART DIRECTION AND STYLING CALL +255 717 514179

Wednesday

SIRUDI TANZANIA:MARTIN KADINDA

HERIETH PAUL MWANAMITINDO WA KITANZANIA MWENYE UMRI WA 18 AMEONEKANA KUNG'ARA KATIKA RUNWAY ZA FASHION WEEK MBALI MBALI.. NILISIKIA VIZURI SANA KUKUTANA NAE KATIKA NEW YORK FASHION WEEK MPAKA AKANIFANYA NIJISEMEE NINGEKUWA MDOGO NISINGETAKA KURUDI TANZANIA NINGETAFUTA NAFASI YA KUWEZA KUSIHI HUKU NA KUWEZA KUWASAIDIA WANAMITINDO WACHANGA TANZANIA KUWEKA KUVUNA DUNIANI.. SIJUI KIKWAKO NI NINI LAKINI NATAMANI KAMA TUNGEKUWA NA WANAMITINDO WENGI ZAIDI WANAPEPERUSHA BENDERA YA TANZANIA HUKU...

1 comment:

  1. Anonymous11:43

    Low minded thinking,kwani ukiwa tz huezi fanya kitu others wakakurecognize? Kizuri chajiuza tuu ..

    ReplyDelete

sema tukusikie