FOR WEDDING PLANNING, FASHION DESIGNING, ART DIRECTION AND STYLING CALL +255 717 514179

Sunday

Wema Sepetu sasa anaitwa Mama VannY.... Apata mtoto wa Kike

Baada mtoto wake wa kwanza Fiona kuchukuliwa na Mama sepetu... Leo wema anamtambulisha kwenu Mwanae wa Kike Ivana... Mwenyewe anamwita Baby VannY.... Wema anasema anampenda Mbwa wake kama mwanae wa kumzaa mwenyewe...... So she is finaly a mother of one katoto.... Mama wa mbwa mdogomdogo

2 comments:

  1. Anonymous00:56

    Acheni kasumba nyie!!! Huo ni ushamba au umekosa mtoto?

    ReplyDelete
  2. Anonymous02:19

    wala siyo ushamba, ni maisha tu ya mtu, fanya yako unayoona si ya kishamba. mwache wema naye afanye yake unayoona ya kishamba

    ReplyDelete

sema tukusikie