FOR WEDDING PLANNING, FASHION DESIGNING, ART DIRECTION AND STYLING CALL +255 717 514179

Wednesday

SPECIAL POST TO WEMA SEPETU...ZAIDI YA 5MIL SIO KIDOGO

SIONI KAMA KUNA HAJA YA KUTO KUSHUKURU KWA BINTI HUYU MWENYE ROHO YA KIPEKEE.. USIKU WA TAR 8 DECEMBER, NILIPATA TUZO YA KUWA MBUNIFU BORA WA MAVAZI YA KIUME TANZANIA..... NI KITU KIKUBWA SANA KWANGU AND SIKUJUA KAMA WEMA SEPETU AMEGUSWA NA USHINDI WANGU... USIKU HUO HUO ALINIITA NYUMBANI NA KUNIKABIDHI TICKET YA NDEGE PAMOJA NA ALL TH RESERVATION.. SIKUAMINI NA NIKAHISI KAMA NADANGANYWA HIVI.. ASUBUHI THE NEXT DAY MARK X NYEUSI ILINIFATA NA KUPELEKWA MOJA KWA MOJA AIRPORT.. MPAKA NAINGIA NDANI YA NDEGE NILIKUWA KAMA MASIHARA HIVI.. MAANA WEMA HAISHI VISA... AISEE NILIKUTANA NA SETI YA PURE SILVER TWO RINGZ PAMOJA CHENI YAKE NILIPOFIKA HOTELINI... PAMOJA NA VOCHER YA KUSHOP... DO I HAVE TO SAY IT ALL AND THEM PRICES?? NO WAY ACHA IBAKI KUWA HIVYO.. BATA LILIKUWA NDEFU KWANI NA YEYE ALIKUWEPO... MPAKA NIMERUDI DAR NAJIONA KAMA VILE IT WAS JUST SIMULIZI SIO KWELI IMETOKEA ILA NDO IMEKUWA HIVYO.... MUCH LOVE TO HER AND HER FUTURE LOVE MAANA WAO NDO WAMELIPIGIA GHARAMA ZANGU NZIMA.
TOKING TO HER ONE AND ONLY.
THANK YOU "MADAM BOSS WEMA SEPETU"

8 comments:

 1. Anonymous13:25

  MOLA ATAMZISHIA KILA JEMA KAMA JINA LAKE ATAMUONDOLEA MAHASID WOTE KAMA ALIVYOWATIA UBUBU NA UKIPOFU WAMEANZA KUMSAHAU .AMPE FARAJA NA MUME WA KHER.NA NYOTA NJEMA NA AWE NA BARAKA ZA WAZAZI WAKEI LOVE SO MUCH WEMA NA NTAZID KUMPENDA. NA MARTIN MUNGU ATAKUWA NAWE KTK KAZI ZAKO.

  zei frm sweden

  ReplyDelete
 2. Anonymous15:49

  Congratulation Martin.....................Wema Sepetu mwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaSEPETU WA SEPETUNGA................hapana chezea!!

  ReplyDelete
 3. SHE IS REAL A GOOD GIRL ....

  ReplyDelete
 4. Wema Wema Wema....love this gal jamani...and i hate nkiona ametolewa kwa skendo ktk magazeti......ila hilo halifanyi mm kumchukia...i jst lv ha....
  Congrats MK...

  ReplyDelete
 5. NIKII03:50

  I LKE WEMA SO VERY MUCH

  ReplyDelete
 6. Anonymous05:38

  wish martin angefanya kweli kwa wema, kiukweli watapendeza sana coz wote ni never mind, yaani kifupi wanapendeza kuwa wapenzi

  ReplyDelete
 7. Anonymous08:19

  hongera sana wema  ReplyDelete
 8. Anonymous13:46

  Jamani.... i LoVE You GUyS

  ReplyDelete

sema tukusikie