FOR WEDDING PLANNING, FASHION DESIGNING, ART DIRECTION AND STYLING CALL +255 717 514179

Tuesday

Hali si shwari...Its wAtoto wa Kkoo Vs Diamond platnumz.... Chupa zarushwa, mayai Viza na Viti

Mara nyingi msanii mkubwa anapofanya perfomance Lazima swala la usalama lizingatiwe... Diamond ni msanii mkubwa sana si wakupewa ulinzi wa bounces wanne on stage... Mliokuwepo leo mmejionea shughuli ilivyokuwa... Sitaki kujua show imeishaje kwakuwa mimi si mpenzi wa fujo... So far i have seen his energy and munkari wa show ulivyo... Naamini itaishi salama....ukiangalia kwa makini utaona watu wakiokota chupa on stage...... #Show imeisha salama and Diamond anasema hawamwezi kamwe... Show zake hata ziwe na vikwazo vipi lakini huwa anahakikisha his audiance wanapata burudani walioilipiwa


1 comment:

  1. Anonymous10:27

    Club za Bongo nazo ziwe na ulinzi unaoeleweka sasa watu wanaingia na mayai Viza walinzi mlangoni wanafanya kazi gani mpaka wanaruhusi watu waingie na vitu vya ajanu ivyo!!!!

    ReplyDelete

sema tukusikie