FOR WEDDING PLANNING, FASHION DESIGNING, ART DIRECTION AND STYLING CALL +255 717 514179

Monday

LAST WEEKEND WAS MY SECOND BORN BROTHER WEDDING, ADOLF K, I MADE IT HAPPEN AND AM HAPPY ABOUT IT.... (ALL DRESSED IN MARTIN KADINDA)

THE OFFICIAL DESIGNER OF THE WEDDING NILIKUWA MDOGO WA MWISHO WA BWANA HARUSI,

COLOURS WAS YELLOW,PURPLE,PINK,RED AND GREY

THE BOTH GONE CREAM, WHITE AND BLACK (SINGLE BUTTON) PINK WAS ONLY KWENYE SAMAKI TIE

TO GIVE IT A BETTER LOOK I MIXED WITH KITENGE KATIKA MFUKO WA KOTI.. U LIKE IT?
MY LOVELY SISY, SHE IS OUR THIRD BORN, MARRIED AND LIVING IN MBEYA... HER DRESS WAS DESIGNED BY ME AS WELL NA KUSHONWA SINZA MAKABURINI.

HAVE YOU EVER HAD THAT ONE SISY AMBAYE ENZI ZA UTOTONI UKIKOSEA UNAOMBA KESI YAKO IFIKISHWE KWA MAMA AU BABA AND NOT KWAKE? NDO HUYU SASA

AS WE GROW UP I HAVE LEARNED SHE LOVES ME VERY MUCH NDO MAANA ALIKUWA MKALI SANA ENZI ZA UTOTO WANGU... WE ALWAYS GO CRAZY TUKIKUTANA.. TOO BAD SHE IS MARRIED SO NO MASIHARA KWA SANA, NI MAMA WA WATOTO WAWILI.

ALIKUWA HAPENDI PICHA ENZI HIZO ILA SASA NI CHIZI MAPICHA KAMA MIMI.

AND THIS IS HER DAUGHTER.. MTOTO WAKE WA KWANZA ANAITWA LOREEN

SHUGHULI HAIKUISHIA HAPO.. THEY ALL GONE MARTIN KADINDA IN A VERY COLOURFUL WAY..

U WAND YOUR BRIDE MAIDS TO SHINE LIKE THIS? CALL ME AND WE MAKE IT HAPPEN

STREET FASHION

SINGLE BUTTON HAINA UMRI NA FASHION YAKE HAIISHI LEO WALA KESHO.


8 comments:

  1. Anonymous13:37

    big up martin nimependa sana,the coloure are to die for,OMG!! we ni mkaliiiiiiiiiiiiiiiiii

    ReplyDelete
  2. Anonymous18:09

    Waooh brother I dont even know what to say, ur real genious, my number 1 tz's designer, i love what you did to that wedding, so gorgious and colorfull outfit...keep up Meeen, just show them what you can do, #TeamSingleButtonNeverDie

    ReplyDelete
  3. Anonymous06:45

    OMG... THIS IS NIIICE, SURELY WE WILL CALL YOU FOR OUR WEDDING...I WANT MINE WHITE WITH ONE OF COLOR ILIYOTULIIIIA. I LUV THIS

    ReplyDelete
  4. Anonymous22:35

    bwana harusi anaonekana chapombe!!!!

    ReplyDelete
  5. Anonymous22:36

    nguo ya dada nimeipenda! colour combinatio is awesome. but maids design, noooo!! design ya maids hukutenda haki, something is not right especially kwenye shingo

    ReplyDelete
  6. Anonymous11:20

    Umetixha kaka.

    ReplyDelete
  7. Big up u made them shine like diamondds

    ReplyDelete
  8. Anonymous05:06

    Mama Bruno... amependeza na gauni lake.

    ReplyDelete

sema tukusikie