FOR WEDDING PLANNING, FASHION DESIGNING, ART DIRECTION AND STYLING CALL +255 717 514179

Monday

23rd march is my special Day!!


Kila binadamu huwa na malengo yake kipindi anapokuwa!! na pia maisha yetu yamejengwa na ndoto nyingi za maendeleo na maisha mazuri... lakini Katikati ya maisha haya wengine wanapoteza uhai au hata baadhi ya viungo vya miili yako... lakini je tulio wazima tunafanya jambo gani katika kumshukuru mungu? tunakumbushana tuu, napenda kumshukuru mwenyezi Mungu kwa kuniwezesha kufika hapo nilipofika leo, kaniwezesha kukutana na mambo mbali mbali mazuri na mabaya pia ambayo naamini ilikuwa ni mitihani katika kunijenga na kunipa ujasiri, masaa machache yajayo nitakuwa natimiza miaka 23, ni hatua kubwa sana nimepiga katika maisha yangu kwa msaada wa watu walionizunguka bila ile mihimili miwili ambao binadamu tunapaswa kuwa nayo, lakini walikuwepo pembeni wamenisimamia na kunifanya kusahau kuwa sina ile mihimili ya mtoto yoyote katika dunia hii.. nasikitika hawapona na mimi leo hii lakini moyoni mwangu watakuwepo mapaka siku nitakayoiaga dunia hii....

Naomba kwa yoyote niliyemkwaza in anyway anisamee na kuniona ni mmoja ya wakosefu katika dunia hii na kwa aliyewahi kunikwaza kwa aina yoyote, trust me nimefuta na kusahau yaliyopita... nakazana kujenga maisha yangu, Mr&Mrs kilongumtwa nawapenda sana, Carolyne Peter Zayumba You real touched my life and God will give u the best mbinguni kama si hapa dunia... Mr&mrs Raqey siwezi kusema lolote lakini mwenyezi Mungu anajua Moyo wangu unawaombe Kheri kila siku, Judith Mbibo Wambura na Mr. Habash thanx for being there.... My life has alot but there are people who give me ahudread reason to smile and think am the best in this World..


Agnes my Sweet Princess, am sorry for the Whole mistake i have made, all the pain i have cost u.. but Trust your the woman of my life and mbele ya watu natamka wewe ndio mke wangu nitakayekuoa, umenionyesha ujasiri ambao wanawake wachache sana wanao katika dunia ya hivi sasa, I love U

am in love with this Picture

Thursday

Hongera bro kwa kutimiza miaka 37 mwaka huu...


Tukiachana na kulipuana kwa mafuta jikoni shughuli nzima ilikuwa ni kugawana hii keki ya shughuli... tukala mpaka kuacha...




Dogo, bro na dada



Young forever tulikuwepo kumpa hongera bro Captain....

Babuu wa Kitaa, Me at the middle, the one man standing B12



More pics@ ladyjaydee.blogspot.com

Friday

mke wa Rais wa ufaransa ambae pia ni model anamcheat mchizi



Carla Bruni is cheating on President

French newspaper Le Journal du Dimanche claims the “mismatching” marriage of model Carla Bruni and French President Nicolas Sarkozy “is breathing its last breaths” as the couple are close to divorce due to mutual adultery.

According to the paper, Bruni is in love with a musician Benjamin Biolay, and the romance has started a few weeks ago.

Meanwhile, Sarkozy has found comfort in the arms of Ecology Minister and fellow karate fan, Chantal Jouanno.

Carla, who is a model and a musician, married Nicolas in November 2007 after three months of dating. Before and after tying the knot she famously claimed she got “easily bored with monogamy.”

Is the alleged toy boy lover just a quick affair or will the new romance break the high-profile marriage?

Mwanamke Umbea hata ukiwa First Lady


Michelle: Shoga yangu umeanza kuzeeka yaani ngozi imekuwa kuch Nehi.....

Hillary: What?? dont tell me... nilidhani nimejigundua mwenyewe kumbe hata wewe..? angalia ngozi imeanza kukakamaa


Michelle: Hata hivyo usijali nina number ya doctor aliyemtengezeza Dolly Parton nitakupeleka akakukarabati.....

Hilarry; Ahah aha ahah aha ahha ahah aha Asante shosti nisije kuachika kwa kukosa mvuto bure..



First Lady marks International Women’s Day with Hillary ‘President’ joke

Thursday

Traveling on making clips for the camming big tv show


Are u ready for this??

Sorry

Hi guys? nimekuwa bussy kiaina katika purukushani za maisha Ya hapa na pale hivyo nimesafiri kidodgo kwenda ng'ambo. ndio maana nipo kimya katika blog... muda wa kuupload vitu unakuwa unakosekana..... all in all keep on visiting my blog because i have alot of suprise for u ....

Tanzanian female models who made to the Top

Teddy K.
1.
Sexilicious Queen.......




2.Millen(Happiness)Magese



Best of the Whole time......


3.Miriam Odemba




Fashionistar........ the one one in Beaty Queen in dar


4.Lavvy Matata

TOMMY HILFIGER


Catwalkin in New York now.....




5.Vivien Marks


True tanzanian Lady with natural african beauty lives in Spain..



6. Nancy sumary

Nancy sumary as sweet as Love feelings!!

Cheka kwa Step!!

Pindi dawa za kichina zinapokukataa!!





When a man is fed up…….

kinachofuata??

Saturday

who made my Days last Year

Fashion for Fun


nilikutana na mtoto stajini .... akawa kanuna kichizi.... katika kujisachi sachi nikajikuta na condom.. He? yule binti kuiona si akanirukia kwa furaha??


Nikambeba na kusepa nae!! yaliyofuata tusiulizane jamani.....

Mvutokwanza magazine cover....


Me and my baby tutauza tukiwa katika Cover ya Toleo la mvuto kwanza??



Jamila nyangasa mmoja wa wanamitindo wakubwa tanzania..... vipi akiwa cover girl atauzaaaa?

Friday

natural Beauty in Her


Judith Wambura ni mmoja wa wanamziki wakubwa hapa nchini kwetu tanzania kwa kiasi kikubwa ameitangaza nchi yetu kupitia burudani ya muziki... unakumbuka ni kwa mara ngapi amesafiri kwenda nje ya nchi akiwa na bendera ya tanzania katika nguo aliyaa au hata hereni zake au kitambaa alichoshika...
Hivi kweli vyombo vyetu vya habari zinashindwa kumuheshimu na kumpa nafasi ya kuishi maisha ya Raha.. kuugua kwa Jide imekuwa sababu ya kufanya gumzo la mji? hivi kweli sheria za habari hatuzijui au tunazifungia macho? JAY DEE'S SICKNESS IS THE PUBLIC INTERESTED?? AND PEOPLE THE HAVE A RIGHT TO KNOW? haya si ni maisha yake binafsi? mmemtafuta mzungumzaji wa msanii huyu na kumuuliza? Wengine wanasema ni TAJIRI MCHAFU... anamiliki swimming pool nyumbani kwake... mmeenda mkaiona hiyo swimming pool??tusiandike tuu ili kuuza gazeti ila tufikirie maumivu mnayompatia dada Yetu huyu na mashabiki wake wanaompenda na kumjali.... anafanya kazi sana.. siku tatu kwa wiki ni tatizo?? mbona mko maofisini wiki nzima na hakuna anayewauliza? Tusifike huku tunakotaka kufika kwa kukimbia kabla hatujatambaa .......

Pole Wale wote mlioniandia hii inaonesha ni jinsi gani mmeumia na Khali ya hewa ya Media yetu!!

Lady Ga Ga gone Ga ga on Brit Awards


Right before the show Lady GaGa opted for another larger-than-life wig with pale fuchsia bows decoration. Though the wig looked cheap and ugly I loved her comb-style brown shades and her leopard printed coat. Really fierce!


Lady of all wigs, Lady GaGa, was center of attention at Tuesday’s 2010 Brit Awards turning heads and winning tabloid headlines due to her surreal fashion and daring style choices.

Prior to the show Lady GaGa was seen leaving her London hotel in a big blonde wig and spike-decorated jacket. Pairing the look with black fishnet tights, sky-high platform booties and John Lennon-inspired shades she looked quite fierce battling the London cold in a motley shirt worn as a dress.


Thursday

Big Names to Be Seen!!



Rommy jones ni mmoja kati ya vijana machachali wenye nia ya kuleta maendeleo katika tasnia nzima ya burudani!! ni mwanamuziki na pia amejikita zaidi katika luninga hivi sasa! ni moja wa vijana wanaotegemewa kutingisha jiji pindi Cloud Tv itakapo anza kurusha vipindi vyake mapema mwaka huu!!


Lets wait ang See

Jamaa ni photogenic pia eh?