Wednesday
Monday
Valentine's Out with Friends!!
Niligundua kila siku niko na mpenzi wangu si mbaya kama siku ya leo nikiwakumbuka rafiki na dada zangu ambao kwa kiasi kimoja au kiingine wamekuwa wakinisaidia, Khadija Mwanamboka thanx for being out there!!
Gagalicious with her smile alikuwa pamoja nasi kusherekea siku hii ya wapendanao.. ananipenda nampenda pia... kila mtu ana maisha yake na deal zake but in other way amekuwa akinifanya nitabasamu kila mara napokutana nae.. get to know her!!From Grammy Awards 2011 to Mvutokwanza-Tz this is my fashion police
ciara ia this back to africa?? No!! its just fine ila sio mapigo yako... umejaribu kubadilika ila kwangu sijafurahishwa!!
Katy perry am sorry!! naweza kukupa tuyo ya waliochemsha kwa upande wangu... ulikuwa unafikiria nini? ulitazama umbo lako na unachozaa kabla ya kutoka??
Kama kawaida yako Kim k.... umetishaaaaaaaa mng'aro mng'aro umeutendea haki yake... nakuita Fashion Star of the night!!
Your still into animal prints in this big event nick minaj?? its very okey but sikuona kama ilikuwamuhimu sana wewe kubaki huko wakati dunia ya fashion taratibu inaanza kuhama.....
Christina you understand fashion.. i loved your dress but nywele zako ungezibana kidogo au kuzipeleka upande mmoja ungependeza zaidi.. your face ingestand out zaidi!!
Am falling in love with you jennifer Each and everyday.. your so matured and yet sexy mama...marc anthony am out of words.. you are a great husband!!
Justine umevaa uhusika wa kujitambua kuwa wewe ni staa na unapaswa kubadilika kutokana na mazingira ila bi dada Rihanna umependeza sanaaaaaaaaaatena sana ila nahisi kama hii nguo ilikuwa tu mach au ndo unajigagalishazi?? maungo yanaonekana... watanzania pls pls tusicopy uvaaji huu utakucost
Am so disapointed na Willow.. i was looking so forwad kwako ila dah... kiatu na that pant...kwangu walaaaaaaaaaaaaaaaaa... sijafurahishwa na wewe... your mum knows fashion very well why wamekujaza makorokoro??more from grammy to come
Sunday
Zinakuja soon kutoka katika Lady in Red 2011
Thursday
Great times in Sauti za Busara Zanzibar
Nilikuwa na raha tu kila nikikumbuka nipo na mrembo wa taiifa pembeni... here with Miss tz Genevieve ndani ya Ngome kongwe
Mamaa some event...Elsi alikuwepo kuwakilisha kama kawa....
Chezea Zainul..... kila kona anakaba.....
Kila wakati kila mahali kwetu ilikuwa ni picha and laughing..............
bila forodhani bado hujakamilisha safari yako ya kuja Zanzibar.... Soko la Maakuli...
Trust katika watu waliokuwa wananipa raha ni hawa hapa...
Zainul kutoka Mo blog alijumuika nasi
Wao wako busy na picha na mimi kwa mbali nikatia kambi... palipo na picha ndipo nilipo mimi
Monday
New hit kutoka kwa Lady gaga to be released this february
Sunday
Naomi Campbell kwa ukaribu zaidi

Born on May 22, 1970, to fashion designer and sometime model Valerie Campbell, Naomi was discovered at the age of 15 by Elite agent Beth Boldt as she strolled near London's Covent Garden. Her rise to supermodel status was rapid she was the first black supermodel to grace the cover of Vogue and she quickly became the darling of top international designers, forging an especially close relationship with Versace, for whom she modelled for 12 years before an acrimonious parting of the ways in 1999.
The following year Naomi launched a fragrance named after herself, of course backed by a worldwide marketing push and promotional tour. She has also dabbled in films, appearing alongside Antonio Banderas in Miami Rhapsody and with Sophia Loren and Kim Basinger in Prêt-à -Porter.
She released an album Babywoman, a single from which was a hit in Japan, and in 1996 ventured into fiction with the novel Swan, which generated the requisite publicity for its "author" despite being famously ghostwritten. But when it comes down to it, whether Naomi penned the words or not is immaterial. She is a commodity, and everyone wants a piece.
That kind of exposure comes at a price, however, and the pressure has taken its toll. In 1999, following several incidents including one in which a former assistant alleged the ubermodel had grabbed her by the throat and hit her on the head with a telephone she booked herself into the Cottonwood anger-management clinic in Arizona.
During an an interview with Barbara Walters in June 2000, Naomi broke down and confessed: "Anger is a manifestation of a deeper issue... and that, for me, is based on insecurity, self-esteem and loneliness," adding, "I was really unhappy. I realised I was going to lose the people who really loved me if I didn't find out what was making me do the things I did."
The London-born model's challenging personality may go some way to explain her chequered and well-publicised romantic life. Past "true loves" as she is apt to describe them very early on include Robert De Niro, former world heavyweight boxing champion Mike Tyson and Joaquin Cortes. Her on-again off-again affair with Italian Formula One Benetton team chief and millionaire Flavio Briatore resulted in a tattoo of Flavio's name on her arm, an optimistic gesture perhaps that this time it would have been for keeps. However, the two called it quits for good in the summer of 2001. She has since been linked to Spanish model Enrique Palacio, fashion tycoon Matteo Marzotto and R&B star Usher.
In 2002 Naomi was again making headlines when she lost to a London newspaper in an appeal case fought over her right to privacy. "I do not think it so terrible or extraordinary to want to keep private the fact that you have problems and are seeking treatment," the model stated after the hearing. In 2004, a higher court apparently agreed, overturning the prior verdict and handing Naomi a win.
Saturday
Ukaribu wenu ni chanzo cha migogoro ya kimapenzi?
Kwa muda wa miaka miwili sasa nimekuwa nikifahamiana na Shyrose Banji... mara nyingi nimekuwa nikikutana nae katika shughuli mbali mbali za kijamii na nimekuwa nikimpenda kwa kuwa ni moja ya wadada wachakarikaji katika kugusa jamii inayomzunguka, nimeshtushwa na Kauli za mpenzi wake Jafarai.. mimi binafsi sitambui kuachana kwao kwakuwa nimesikia tu upande mmoja wa stori, nafikiri tusihukumu kuvunjikwa kwa Uhusiano wao kwa kusikiliza upande mmoja.. kuna umuhimu wa kujua Shyrose analizungumziaje hili... pichani hapo juu inamuonyesha mwanaharakati Shy rose akiwa na mbuge wa Mbeya mjini ambae ndo inasemekana ni chanzo cha mtafaruku wake na mpenzi wake.. kwani kuwa karibu kikazi ni tatizo? inawezekana Kukawa na sababu kubwa kwa jafarai kusema aliyosema katika Vyombo vya habari...Mvutokwanza kwa kutambua thamani ya jina Lako shyrose Banji ingependa kukupa pole kipindi hiki kigumu kwako na kuomba utumie busara zaidi katika kuzungumzia jambo hili kwa wa jamii inayokuzunguka.. kila mmoja anatamani kusikia nini unaweza kusema kuhusu hizo shtuma!! na Kwa jafarai, katika mapenzi kuwa mabonde na milima hili lingezungumzwa na kumalizika kimya kimya bila Tanzania nzima kujumuishwa maybe unamakosa pia kwa upande wako hivyo isiwe ni kesi ya upande mmoja zaidi!
Thursday
Fashionable Belts for Men..
kabati la mwanaume au uvaaji wa mwanaume haukamili bila kuwepo mkanda.. hivyo mkanda ni moja kati ya silaha itakayokufanya kuwa nadhifu na mwenye kuvutia... tambu aina ya material ya mkanda na eneo unalovaa huo mkanda.. sio unaenda kanisani unavaa mkanda wenye busy detail.. being simple it always works ukienda katika ibada ila inapokuja swala la kwenda katika mialiko mbali mbali.. mkanda uliobusy unakufanya kung'aa na kuonekana unakwenda na wakati.
Subscribe to:
Posts (Atom)






























