FOR WEDDING PLANNING, FASHION DESIGNING, ART DIRECTION AND STYLING CALL +255 717 514179

Friday

His way to win a tittle!!Henry Mwiki ni mwanafunzi wa chuo cha usimamizi wa fedha(IFM)na yupo mwaka wa pili sasa! ana umli wa miaka 21, na ana mategemeo makubwa ya kufanya mapinduzi katika nchi ya tanzania! ni mapinduzi gani? mimi na wewe hatufahamu1 ila inabaki kuwa siri yake mpaka hapo atakapokuwa tayari kuwaeleza watanzania! hii ndio safari yake ya kuelekea ushindi!

Alionekana kupendeza zaidi na vazi la jioni! hivi ndivyo unavyoweza kutoka pindi ualikwapo katika hafla mbali mbalikuwa simple but smart, shati,suruali na kijikoti na muunganiko mzuri utakao kufanya uonekane vizuri mbele ya watu waliokuzunguka!Hili ndio vazi lake la ubunifu kijana Henry! lilikuwa limechanganywa vitambaa mbali mbali na muonekano wake ulionekana kuwagusa wabunifu wa mavazi tanzania, kwani alitoka kitofauti
ASIA IDAROUS: Nguo yake nzuri sana, unajua uchanganyaji na uvaaje wake ni wakipekee! hayo ni maneno ya nguli wa mitindo tanzania.

Henry nadhani amejaliwa kipaji cha kuchagua nguo ambazo zinamfanya ang'ae zaidi pindi awapo juu ya stage na hii iliongeza misisimko katika show hii kwani kila mtu alijua kijana anaweza kutwaa taji hili la THE MOST HANDSOME MAN IN TZ, hapa a
kiwa ndani ya casual wear!!
Hatuwezi kujua majaji walitumia kigezo gani kutoa maamuzi ila mwisho wa yote kijana henry alishika nafsi ya pili! yaani the first runner up!na Khaleed kushika nafasi ya kwanza big up kijana, u did ur best and the rest was God's job. ila watnzania kauni tayari kwani kijana ameanza kuonesha makucha katika sanaa tanzania!!


tukutane wiki ijayo nitakapokueletea interview ya nguvu na washiriki wa shindano hili kujua maengi kuhusu wao na nini mategemeo yao baada ya kinyang'anyiro hiki!

No comments:

Post a Comment

sema tukusikie