FOR WEDDING PLANNING, FASHION DESIGNING, ART DIRECTION AND STYLING CALL +255 717 514179

Thursday

Inakuhusu hata wewe

Mambo vp? nafurahi sana kwa kuwa umepata muda wa kupita katika blog yangu! that is the good thing coz naamini utapata ujumbe ambao nimepanga kuufikisha kwa kila anayepita hapa! am happy kwa wenye nia njema wanapita na kusoma na kucomment sometimes kulingana na nilichokipost kwa siku hiyo...
La muhimu hasa linalonifanya kuandika hapa ni kwamba.. hii blog ni yangu I mean its more personal and its for me and my people... siwezi kuwaeleza watu wote ninayotaka kuwaambia kwa njia ya simu au kuonana nao live lakini blog yangu hunisaidia sana katika hilo ndio maana nikawa na hii blog... ninapost kila ninachotaka mimi na sio unachotaka wewe.. hivyo sioni sababu ya wewe kukaa na kuzungumzia about Martin and his blog.. nimekutuma uifungue ni kiranga chako kilichokutuma? na kuandika comment nimekuomba au umejisikia kupost ur comments? so plz ukiona sijaweza comments zako ujue ni zakipuuzi ndio maana huwa nachambua na kuweka comment zinazofaa na zisizofaa nazipotezea kwa sababu picha ninazoweka humu ni za watu ninao waheshimu sana na kuwachukulia kama rafiki ingawa sio wote.. hivyo huwa sioni umuhimu wa kuiweka post yako ikiwa unabifu zako binafsi, mfate muhusika na umweleze na sio through My blog Pls!! nafurahi sana pindi unapoitembelea blog yangu but huwa nakereka pindi ninapokutana na comments za ajabu ajabu!!

Tubadilike na kuwa na jamii endelevu.. for how long are u goin to be stupids? fanya jambo la maana kulingana na muda ulionao na sio kupoteza muda kwa kuongea pumba... kama unaona huna la muhimu goolge a few stuffs and read in order to build Your mind.... kuna mambo mengi ya kimaisha na afya yako kwa ujumla unapaswa kuyajua lakini unaona hiyo hafai unakaa kuzungumzia watu!!! why???

Openly am really disapointed and nimeona nikikaa kimya haisaidi ni bora kuwa na clear mind kwa kutoa dukuduku langu ambalo limekuwa likinipa tabu kulifikiria....

1 comment:

  1. Anonymous07:09

    umenena dogo. kuna watu wanaboa sana

    ReplyDelete

sema tukusikie