FOR WEDDING PLANNING, FASHION DESIGNING, ART DIRECTION AND STYLING CALL +255 717 514179

Monday

I loved it...

This sunday nilipata bahati ya kuhudhulia Red Party ya machozi band.. ilikuwa tamu sana... pata picha zaidi kwa jide www.ladyjaydee.blogspot.com

Jide the number one female artist in tanzania alikuwa ametupia kuliko maelezo... i love her dress!! you can see her beautiful african body... legs and the best part ni hapo mguuni... look at her shoes

Safu nzima ya machozi band ilikuwa inang'ara kuliko maelezo....

No comments:

Post a Comment

sema tukusikie