unajua Siku zote nimekuwa nashtukia kuwa napenda picha sana, nakumbuka hadi Lady Jay dee amewahi kuniambia "Martin unapenda picha sana"

Lakini Kadri siku zinazidi kwenda nimegundua picha si ugonjwa wangu peke yangu, asilimia kubwa kati yetu tunapenda picha ila tumeachana na swala hili kutokana na kugundua hatutoki vizuri katika picha.

Leo nikiwa busy napiga zangu picha Dadangu Zamaradi nae si akaingilia kati, basi kazi ikawa ni moja, tumepiga picha weeee mpaka tukamsahau mpigaji picha mwenyewe maana nae alikuja hapa akitaka kupigwa picha

Eneo ni moja ila tu style za macho,mikono na miguun ndo zilikuwa zinabadilika

Mimi napenda picha ila Zamaradi Mketema ni Zaidi yangu.

Cheki mtoto alivyojikunyata utamuuu, raha ya picha hiyo

Nimecolour block a bit today