|
JIJI NI SAFI AND LIMEJENGWA KISANIFU. |
|
FEW PICTURES MOMENT AT AMSTERDAM WAKATI NIKO TRANSIT. |
|
NILIPANDA NDEGE MOJA NA VANNESA MDEE AMBAYE YEYE TULIACHANA HAPA AMSTERDAM AMBAPO ALIRUKA KUELEKEA ALTANTA WAKATI MIMI NAKUJA NEW YORK... FOR MORE UPDATES PITA PITA HAPA AMBAPO NITAKUWA NAKULETEA MATUKIO YA KILE KILICHONILETA MAREKANI |
|
|
|
NANCY SUMARI NIMEAMINI UZURI WAKE SIO WA MPITO... BEEN A GIRLFRIEND WITH TANZANITE RING ..... MOTHER AND YET MJASIRIAMALI NA BADO UZURI WAKE UMESIMAMA PALE PALE NAMPA HESHIMA.... SHE IS MORE THAN JUST A BEAUTY QUEEN.. HUYU NI MMOJA KATI YA WASICHANA WAWAKITANZANIA AMBAO NINAPENDA KUFANYA NAO KAZI.... |
|
POST YANGU HII ILIKUWA KUTOA SIFA KWAKE KWA KUJA NA HII STYLE YA KUFUNGA KILEMBA KATIKA MAENEO MENGI AMBAYO NIMEKUTANA NAE HIVI KARIBUNI........ HAYA SASA ODEMBA ALIKUWA NA STYLE YAKE YA UFUNGAJI WA KILEMBA NA IKAVUMA MPAKA LEO.. NANCY SUMARI NAE ANAKUPA YAKE HIYO HAPO YENYE FUNDO MBELE KUSHOTO. |
|
SINA TATIZO NA MTU ILA NAHISI KAMA KUNA KITU AKIPO SAWA HAPA... SIJUI KAMA NAKOSEA... KILA NIKIKUTANA NA PICHA ZA LULU KATIKA MTANDAO WAKE WAKIJAMII NASHTUKA SANA... LULU KUNA NINI? |
|
YULE MISS TANZANIA ASIYECHUJA UZURI WAKE AMEAMUA KUFATA NYAYO ZA MASTAA KIBAO WA MBELE WANAOPATA WATOTO WAKIWA NJE YA NDOA... KLYINN AMBAYE ALIAMUA KUACHANA NA MUZIKI NA KUINGIA KATIKA MAHUSIANO AMBAYO YAMEDUMU KWA MUDA MREFU NA YULE JAMAA.. SI UNAMJUA? DONT ASK ME ANYTHING... MLIOKUWA MKIPREDICT HAWAWEZI KUFIKA MBALI KATIKA MAHUSIANO YAO SASA MMEUMBUKA AS KLYINN AMEHAMA NCHI KWA MUDA ILI KULEA MIMBA YAKE NA MENGINE YATAFUATA BAADA YA MTOTO KUZALIWA... |
|
FOR MORE UPDATES PITA HAPA HAPA. |
|
NDANI YA KIVUMBI COLLECTION KULIKUWA NA 9 TO 9 WOMAN'S LOOK... WHY 9 TO 9?? BECAUSE ITS ONE OF THEM LOOKS AMBAYO UTAVAA 9AM UNAPOINGIA JOB NA UTAENDA NAYO KATIKA COVTAIL PARTY 9PM NA HAKUNA ATAKAYEKUULIZA KWAKUWA UMEVAA 9AM TO 9PM.... WALE DADA ZANGU WA MAOFISINI MNAOSHINDWA KURUDI HOME KUCHANGE PINDI UNAPOPATA MWALIKO... TUTAFUTANE BASI UNG'AE NA 9 TO 9 |
|
|
FROM 9TO9 OFFICE LOOK UP TO COCTAIL LOOK... IT WAS ALL ABOUT MARTIN KADINDA |
|
NAKUONJESHA YALE YALIOJIRI SIKU YA JANA KATIKA SHOW YA DAR FASHION FESTIVAL..... |