|
NAMHESHIMU SANA HUYU JAMAA.. AMENISAIDIA SANA KATIKA KUTANGAZA BRAND YANGU YA SINGLE BUTTON.. HESHIMA YAKO DIAMOND PLATNUMZ |
|
KAMA ULIKUWA HUJUI AMA HUJAONA.. CHRISS BROWN AMETOBOA PUA.. HII ITAKUWA SI MARA YA KWANZA KWA MASTAA KUTOBOA PUA... ALIANZA MAREHEMU TUPAC SHAKUR, NOW CHRIS BROWN NA KWA TANZANIA NI CHIDDI BENZ... UNADHANI PIN YA PUA INAMAANA GANI? |
|
|
Habari nilizozipata kupitia kwa mkurugenzi wa One touch zinasema,MSANII wa kimataifa wa Tanzania, Naseeb Abdul,
anatarajia kufanya usaili kwa ajili ya
watu watakaotumika katika kurekodi video ya wimbo wake mpya ambao utaachiwa
hivi karibuni.
Mkurugenzi wa kampuni ya One Touch Solutions,
Petter Mwendapole alisema mjini Dar es Salaam kuwa Diamond amefikia uamuzi huo
katika kuhakikisha kazi zake zinafanyika katika kiwango cha kimataifa.
“Jumamosi ijayo tutafanya
usaili wa watu ambao wataonekana kwenye video hiyo, hii ni mara ya kwanza kwa
kitu kama hiki kufanyika nchini kwetu ingawa wenzetu Ulaya wamekuwa wanafanya
hivyo na wanaonekana wanakuwa wanalipwa tofauti na video nyingi za wasanii wa
hapa kwetu na hao watakaochaguliwa kwenye video hiyo watalipwa pia,” alisema |
|
Akizungumzia kuhusu video hiyo, Mwendapole alisema
itarekodi ndani na nje ya nchi ili kuhakikisha inakidhi matakwa ya soko ambalo
msanii huyo analiangalia kwa sasa huku video hiyo ikifanya na kampuni bora
kabisa Tanzania.
Kwa upande wake Diamond alisema lengo kubwa la
kufanya hivyo ni kuleta mapinduzi katika sekta ya muziki nchini lakini pia
kutengeneza ajira kwa ajili ya wasichana na wavulana ambao wako mitaani lakini
wanapenda muziki.
Diamond ambaye alikuwa nchini Marekani wiki
iliyopita anatarajiwa tena kwenda Marekani kwa ajili ya onyesho moja la muziki.
Msanii huyo alifanya
mapinduzi katika medani ya muziki wa bongo baada ya kufanya onyesho lake
alilolipa jina la Diamond’s are Forever pale Mlimani City ambapo katika shoo
hiyo aliifanya mwenyewe na kiingilio kikiwa sh 50,000 jambo ambalo halijawahi
kufanyika katika ulimwengu wa muziki nchini. Haya sasa wale ambao tunasumbuana kila siku mnataka kuuza sura huu ni wakati wako wa kuuza sura pamoja na kulipwa juu sio zile video mnauza bure bure.. kama una mvuto na muonekano mzuri kwanini usipate hili nafasi? lets met next saturday.. Venue nitakujuza soon | |
|
JIONI YA LEO NILIPATA MWALIKO WA KUMUONA MHESHIMIWA BALOZI WA TANZANIA HAPA NEW YORK. KWA HABARI NA PICHA BONYEZA HAPA |
|
HERIETH PAUL MWANAMITINDO WA KITANZANIA MWENYE UMRI WA 18 AMEONEKANA KUNG'ARA KATIKA RUNWAY ZA FASHION WEEK MBALI MBALI.. NILISIKIA VIZURI SANA KUKUTANA NAE KATIKA NEW YORK FASHION WEEK MPAKA AKANIFANYA NIJISEMEE NINGEKUWA MDOGO NISINGETAKA KURUDI TANZANIA NINGETAFUTA NAFASI YA KUWEZA KUSIHI HUKU NA KUWEZA KUWASAIDIA WANAMITINDO WACHANGA TANZANIA KUWEKA KUVUNA DUNIANI.. SIJUI KIKWAKO NI NINI LAKINI NATAMANI KAMA TUNGEKUWA NA WANAMITINDO WENGI ZAIDI WANAPEPERUSHA BENDERA YA TANZANIA HUKU... |
|
REVIEW: STAGE WAS SUPER, EVENT SET UP FROM ENTRANCE, VENUE AND COCKTAIL
ZONE ALL FINE. FOR MY POINT OF VIEW KWENYE DESIGNING I LOVED ALL THE
PIECES BUT NILITAMANI SANA KAMA KUNGEKUWA NA ONE STORY.... ONE STORY I
MEAN EITHER COLOUR OR MATERIAL... NIMEONA RANGI NYINGI AMBAZO ZINGEKUWA
BALANCED IN ONE STORY INGEKUWA BALAA.. UKWELI NI KWAMBA THIS IS BEST
SHOW SO FAR KWA MWAKA HUU TUSUBIRI RED RIBBON,SWAHILI FASHION WEEK NA
NYINGINEZO ZA MWISHO WA MWAKA TUONE MABORESHO ZAIDI |
|