FOR WEDDING PLANNING, FASHION DESIGNING, ART DIRECTION AND STYLING CALL +255 717 514179

Thursday

MARTIN KADINDA 2014 SHOWCASE AT SWAHILI FASHION WEEK.











Wednesday

RANGI YA MWAKA 2015 INAITWA "MARSALA"

today lets share a bit about rangi ya mwaka. Imebadilishwa jina kidogo lakini mimi naona kama ni maroon mpauko.. jaribu kuingalia kwa makini unadhani inatofauti kubwa na rangi ya damu ya mzee (marron)

Wadada unadhani lipstick nyekundu itapumzika?



Monday

MAMBO MANNE YAKUYAFAHAMU KUHUSU MISS WORLD 2014 ROLENE (SOUTH AFRICAN)

Rolene Strauss mrembo kutoka nchini south africa ameitoa nchi yake kimasomaso katika shindano la ulimbwende duniani.. akiwa ndio binti wa kwanza kutoka south africa kushinda taji hilo kwa kipindi cha miaka 40 iliyopita.
1. Rolene ni daktari mtarajiwa aliyehairisha masomo yake ya kushinda Miss South Africa. na mama yake ni nesi huku baba yake akiwa ni daktari pia.
2. She drive volvo: mlimbwende huyu anamiliki gari aina ya Volvo nchini kwao south africa.
3. at Age of 15 she won her first title as Elite model Look huku akiwapiku washiriki wengine 11.


4. She is single... haya kama ulikuwa hujui.. ukiachilia mbali uzuri alionao she happens to be single.