
In her own World
Joket Mwegelo

Most talented Beauty Queen
Teddy Kalonga

Hayupo tena Dar lakini bado anawika!!
Wema Sepetu

Anakumbana na misuko suko ya maisha lakini bado anang'ara katika filamu
Judith Wambura
Millioner Singer and song writter
Maria Sarungi

She is more on producing Tv Shows and helping young girls to archive their dreams!!
Nancy sumari

Ana muonekano wakitoto zaidi! na anajua kutumia uzuri alionao katika kutimiza malengo yake
Caroline Peter
Mwanadada wa kwanza kuleta mabadiliko katika Mitindo tanzania na Sasa anaandaa Tv Series
Rita Paulsen

Throgh Benchmark she is More Than a Diva!!
Ray to the C

Ana make bingo na Soon atakuwa cover Girl katika magazine Flani Flani
Jacline mafuru
Anamiliki Saloon na duka la nguo Maarufu kama pina collada!
Irene Ndikumanya

Hot Hot!!
Miriam odemba

She is more than a model!!
Irene mtoto wa kiwia!!

Yupo zaidi Katika kusaka mahela!!
Lisa Jensen

Baada ya urembo amejikita zaidi katika Filamu!!
Maimartha Jesse

Mwana Afro beat anayetikisa Jiji kwa Kung'ara zaidi katika luninga!!










