FOR WEDDING PLANNING, FASHION DESIGNING, ART DIRECTION AND STYLING CALL +255 717 514179

Friday

HIVI NDIVYO MR RAQEY ANAVYOANZA MAISHA MAPYA KAMA MUME RASMI WA SARA RAQEY MOHAMMEDHuu ndio usafiri alioutumia Ndugu bwana harusi!!


Hivi ndivyo mgeni mualikwa nilivyoji-fashion police!!RQ; Dogo piga picha nzuri! kama zikiwa mbaya kutakuwa hakuna ummuhimu wa kuja na kamera hapa!!
ZNG; Ah bro niaje chali yangu! am a professional photographer wa I-View, so usijali kabisacheti cha ndoa!!


Nakukabidhi ndugu yangu!!


RQ; Nitampata Cindelleral wangu kweli? naona mambo yanakuwa mengi!!
AR; usijali ni protokali zinafuatwa!!

Wadau mbali mbali walikuwepo kushuhudia hili!!paparazi walikuwepo kupata PichaPete kidoleni!!

No comments:

Post a Comment

sema tukusikie