FOR WEDDING PLANNING, FASHION DESIGNING, ART DIRECTION AND STYLING CALL +255 717 514179

Tuesday

The Pain of Diva (Loveness love)

Wadau wa vile vipindi murua vya usiku watakuwa wanamfahamu vizuri Diva Loveness love ambae huwa anaendesha show ya Ala Za Roho ya Cloudsfm!! Mara nyingi Amekuwa akisika kuwa mtangazaji mwenzie wa Redio B12 ni mpenzi wake! kumbe ilikuwa na Show tuu na leo Diva anasema: "Sina UHUSIANO Na B12"Hallow!!


Baada ya watu wengi kutuma sms kila mtu na style yake..nimegundua Tanzania tumekuwa waoga katika njia moja au nyingine ya Kuwavuta wasikilizaji kukusikiliza,inaweza ukawa unafanya ili ufurahishe au upate Jinsi ya kuongea chochote kwa njia ya kuwakilisha Ujumbe kwa njia yoyote but imekuwa ngumu.


Saa hizi ni usiku wa saa 7 na nimekaa kitandani kuandika Haya ninayoandika And pls naomba tuelewane,kuna niliowakwaza kwa namna moja ama nyingine kwa Kumuongelea B12 kama Mpenzi wangu but i was doing it for the show naomba mnisamehe kwani sikuwa na nia tofauti na wala sina lolote lile linaloendelea kati yetu


B12 ni Mfanyakazi Mwenzangu tu na hatuna Mapenzi yoyote yanayoendelea kati yetu wala Hatukuwahi kukaa na kuongea suala lolote la Mapenzi,Its only a radio show ..


Huwa sina taratibu ya kukasirika for more than ten minutes au kumpa mtu nafasi ya kunikasirisha ila nimekasirika kupita kiasi Mungu anajua,i wish kupiga Makelele ila nashindwa,wish to punch someone on the face nashindwa;I am really Angry ..sijawahi kukasirika hivi..Crying out is what is helping me for now.


Wanna let evry1 ambae anahisi au alikuwa Anaamini yale yaliokuwa nayaongea katika Kipindi kuwa B12 ni Mpz wangu ajue sio kweli ni Mpz tu wa kipindi and sitamtaja tena kuepusha shari.


Ala za Roho its about slow music and Few words and that is what the show will always be..kama kuna mtu nilimkwaza in any way pls learn to Forgive Me.. am just an Ordinary Person maybe sijui ninachokifanya..Sina Mpz na niliekuwa nae alifariki na ni ngumu kumpata kama yule,Mungu amlaze Mahala Pema Peponi.


Ntasimamisha Website yangu kwa Muda Mpaka pale nitakapoamua.


Asanteni kwa Marafiki na Wanafiki na Kila Mtu asante kwa kila kitu kidogo mnachonifanyia,nawashukuru sana wote ambao Mnani support na Msio ni support pia Its All goood.


Am living my life for now.
Diva; Loveness Love