FOR WEDDING PLANNING, FASHION DESIGNING, ART DIRECTION AND STYLING CALL +255 717 514179

Thursday

Ali kiba Kuishika Dar es salaam!!


Baada ya kuwashika kwa sauti na Perfomance nzuri juu ya Stage Ughaibuni! Ali kiba amerudi Bongo na kwakuanza ulimuona katika Show juzi iliyoandaliwa na Cloudsfm pale Movenpick!! kijana najituma na anajua kumiliki stage kwa kutumia live band! So kaeni tayari kwani kijana Wenu yupo mijini kuwapa Flavour ya Kitanzania!!

3 comments:

 1. Anonymous08:13

  i love ali kiba sana tuu jamani niwekee picha zake nyingine jamani tuone na za kwenye show zake huko ulaya tafadhali

  ReplyDelete
 2. Why Lie Hata Mimi Nimempenda !!!!!! Wajameni

  ReplyDelete
 3. Na mimi nampenda sana Ali Kiba. Hivi jamani http://www.DarhotwireTv.com ni ya Mengi?

  ReplyDelete

sema tukusikie