Bongo Star search walikuwepo kuonyesha mapenzi yao ya dhati kwa watoto hawa wa TMH
Vyombo Vya habari mbali mbali vilikuwepo!! Hapa mdau mwenzangu nilimfuma akiwa bussy!!
Tumejisikia furaha sana kupata mlo wa mchana na watu mbali mbali maarufu ambao tumezoea kuwaobna katika tv!!
Watoto walifarijika sana kula chakula cha mchana wa washiriki wa Bongo star Search
Watoto wa TMH wakipata mlo
How hot can u be in a simple collection of Your dress? Lady jay dee alihaidi milion moja kwa TMH
Madam Ritha alihaidi kuchangia milion 5 katika ujenzi wa kituo cha michezo Kigamboni kwa ajili ya watoto wa TMH!!
K-lynn alikuwepo kuungana na wadau mbali mbali katika maazimisho haya ya miaka miwili ya TMH
Kanumba alikuwepo kuwakilisha wasanii wa filamu katika kuwasaidia watoto wa Tanzania Mitindo House!
Ali have You becamed player? maana everyday upo na kidemu kipya!!
Hapa sikuelewa kidogo! Asia anampango wa kuwa mtangazaji Wa EATV na kuachana na ubunifu?
Jide; Ushauri wa mume wangu Gadner ni kila kitu kwangu!!
Diva-s Shines always!!
Lady jay dee Na founder wa Tanzania Mitindo House
I-View Photography walikuwepo katika Fund raising hii!!
God mother wa TMH na mustafa Hassanali walikuwepo
Mwanvita Makamba na Mange wakibadilishana mawazo
Mwanadada Aunt Ezekiel na Fidelin Iranga wakiteta!!