Teddy K.
1.
Sexilicious Queen.......
2.Millen(Happiness)Magese
Best of the Whole time......
3.Miriam Odemba
Fashionistar........ the one one in Beaty Queen in dar
4.Lavvy Matata
TOMMY HILFIGER
Catwalkin in New York now.....
5.Vivien Marks
True tanzanian Lady with natural african beauty lives in Spain..
6. Nancy sumary
Nancy sumary as sweet as Love feelings!!
Thursday
Saturday
Fashion for Fun
Mvutokwanza magazine cover....
Me and my baby tutauza tukiwa katika Cover ya Toleo la mvuto kwanza??
Jamila nyangasa mmoja wa wanamitindo wakubwa tanzania..... vipi akiwa cover girl atauzaaaa?
Friday
natural Beauty in Her
Judith Wambura ni mmoja wa wanamziki wakubwa hapa nchini kwetu tanzania kwa kiasi kikubwa ameitangaza nchi yetu kupitia burudani ya muziki... unakumbuka ni kwa mara ngapi amesafiri kwenda nje ya nchi akiwa na bendera ya tanzania katika nguo aliyaa au hata hereni zake au kitambaa alichoshika...
Hivi kweli vyombo vyetu vya habari zinashindwa kumuheshimu na kumpa nafasi ya kuishi maisha ya Raha.. kuugua kwa Jide imekuwa sababu ya kufanya gumzo la mji? hivi kweli sheria za habari hatuzijui au tunazifungia macho? JAY DEE'S SICKNESS IS THE PUBLIC INTERESTED?? AND PEOPLE THE HAVE A RIGHT TO KNOW? haya si ni maisha yake binafsi? mmemtafuta mzungumzaji wa msanii huyu na kumuuliza? Wengine wanasema ni TAJIRI MCHAFU... anamiliki swimming pool nyumbani kwake... mmeenda mkaiona hiyo swimming pool??tusiandike tuu ili kuuza gazeti ila tufikirie maumivu mnayompatia dada Yetu huyu na mashabiki wake wanaompenda na kumjali.... anafanya kazi sana.. siku tatu kwa wiki ni tatizo?? mbona mko maofisini wiki nzima na hakuna anayewauliza? Tusifike huku tunakotaka kufika kwa kukimbia kabla hatujatambaa .......
Pole Wale wote mlioniandia hii inaonesha ni jinsi gani mmeumia na Khali ya hewa ya Media yetu!!
Lady Ga Ga gone Ga ga on Brit Awards
Right before the show Lady GaGa opted for another larger-than-life wig with pale fuchsia bows decoration. Though the wig looked cheap and ugly I loved her comb-style brown shades and her leopard printed coat. Really fierce!
Lady of all wigs, Lady GaGa, was center of attention at Tuesday’s 2010 Brit Awards turning heads and winning tabloid headlines due to her surreal fashion and daring style choices.
Prior to the show Lady GaGa was seen leaving her London hotel in a big blonde wig and spike-decorated jacket. Pairing the look with black fishnet tights, sky-high platform booties and John Lennon-inspired shades she looked quite fierce battling the London cold in a motley shirt worn as a dress.
Thursday
Big Names to Be Seen!!
Rommy jones ni mmoja kati ya vijana machachali wenye nia ya kuleta maendeleo katika tasnia nzima ya burudani!! ni mwanamuziki na pia amejikita zaidi katika luninga hivi sasa! ni moja wa vijana wanaotegemewa kutingisha jiji pindi Cloud Tv itakapo anza kurusha vipindi vyake mapema mwaka huu!!
Lets wait ang See
Jamaa ni photogenic pia eh?
Monday
Most talented model 2008-2009 Met Miss Tanzania 2007
Katika pita pita zangu nilifanikiwa kukutana na miss 2007 ambae anasifika kwa kutokuwa na skendo!! i love her for realy!! She is a very nice chick and i wish ningemfanya awe mke wangu!!
Thursday
Designer anaetamba South Africa
Monday
wadau tunapokutana katika Red Carpets
Best couple in Town award goes to.......................
Mr& Mrs Raqey mohammed
Wife: Stylist, make up artist and director of Summer mix Collection
Husband: Fashion photographer and Director of I view Media
Kuna safari ndefu mpaka kuja kupatikana another couple kama hii... maybe the next one will be mine
Wife: Stylist, make up artist and director of Summer mix Collection
Husband: Fashion photographer and Director of I view Media
Kuna safari ndefu mpaka kuja kupatikana another couple kama hii... maybe the next one will be mine
mvutokwanza Design on Lady In REd
Silvia Shari Miss Ilala 2008-2009 catwalking during lady in red... and the dress was Designed by Martin k.
Me and her
Sunday
Huyu Hapa
Baada ya mbio ndefu ya viatu virefu wanamitindo wa kitanzania wameamua kuanza maisha mapya ya ndoa na kuishi kama mam wa familia..... Felician ndio alikwa model wa kwanza kufunga ndoa, akafuatiwa na Carolyn Peter (Smilling faces). Lilian au Aimar kama anavyojulikana sasa alifuata na habari nzuri zaidi ni Prisca(Malkia wa mwendo wa paka) Ameamua kuachana na ukapela na mapema mwezi huu anatarajia kufunga ndoa!!
Mvuto kwanza inamtakia Prisca maisha mema ya ndoa ....... Bravo?? Sasha na wewe lini??
Subscribe to:
Posts (Atom)