Sebule

colours?? not that much...

i loved this!!

zingatia uchaguzi wa rangi kama unahitaji kuwa na nyumba bora

Si lazima kuwa na makochi mengi.. nyumba inahitaji nafasi
Jiko bora
We call it charming kitchen......

Some neutral colour in it

Mwanga wa kutosha kutoka nje

muonekano wa jiko

Dinning rooms
Chumba na kitanda
nikipata mapacha nitawalaza hapa watoto wangu!!

here is where my son will be sleeping

simple and nice bed....

u like it...? i do like it

nafasi ya kutosha na kitanda cha juu kidogo....

si vibaya kuwa na nice wallpaper chumbani kwako.... si unaiona nyuma ya kitanda yenye miti miti.. it looks so really
Bathroom
so clean... hutamani kumaliza kuoga!!

bafu hili liko sawa!!