FOR WEDDING PLANNING, FASHION DESIGNING, ART DIRECTION AND STYLING CALL +255 717 514179

Friday

The Royal Wedding.....29 April

Umati mkubwa uliotawaliwa na upendo kwa famili ya kifalme ukiwa sambamba na band ya jeshi la uingereza katika kuhakikisha wanapamba siku hii kubwa kwa dunia inaposhuhudia ndoa ya Prince William na Kate
First kiss baada ya kuwa Prince and Princess
Wote walishuhudia hili
Maharusi wakishuka katika gari la kukokotwa kwa farasi ambalo mama mzazi wa Prince alilitumia alipofunga ndoa na Prince Charles
Karibu nyumbani kwa malkia.
Just WED




My opinion of this dress:She was very smart in her choice and very political. Political was the first world that came to my mind when I first saw her. She didn’t splurge, she showed she is actually marrying William for love



Princess Eugenie of York (L) and Princess Beatrice of York arrive to attend the Royal Wedding , they didn’t look couture at all. I thought I would see a lot more artisanal-looking pieces. Other than the really remarkable fascinators, the more classic hats were kind of dull.”
Princess Anne-With this looks .. You will never go out of fashion
Tara Palmer Tomkinson-For me she was the best kwa uvaaji this day....
It was fashion, showed who she was but also appropriate for a woman who is pregnant. And I love that she had Louboutin make crazy shoes for her!”
Mr&Mrs mmetishaaaaaaaaaaaaaa
Zara Philips-Nice and smart.. very smart

Thursday

Birthday Wishes......

My love for you knows no bounds. My respect for you is equally immense. You are my ultimate emotional support and my sweetest friend. Every memory from the gone years, makes me glad that you are my brother. And I wish you a very warm and happy Birthday Peter

Wednesday

Tuonjeshane maandalizi Royal Wedding kabla ya ndoa yenyewe tar 29

Serena Wiiliams nae azama katika music...she is now a rapper

Inawezekana Serena amesema moyoni mwake kama BFF wake Kim karadashian anaweza kuimba why yeye asiweze kurap? hivi karibuni Serana Williams alikutwa studio akipika ngomazake mbili tatu na watu waliopata nafasi ya kumsikiliza wanasema naflow nzuri ya mistari mtandao mmoja wa mastaa holluwood umeandika "

Tennis superstar Serena Williams doubles as a fashion designer, spokeswoman, and part owner of the Miami Dolphins — but now TMZ has learned she’s adding RAPPER to her resumé.

We’re told Serena hit the studio last week to lay down a few tracks … and is working with a record label owned by Minnesota Vikings star Bryant McKinnie.

During the session, we’re told Serena did some work with renowned hip-hip producer DJ Clue … and she wasn’t half-bad.

Whitney Houston Is one of the reason I sing-Kelly Rowland

Mwanamziki kutoka katika kundi la Destiny’s Child ambaye kwa hizi sasa ameamua kufanya kazi zake amefunguka na kusema.. ukiachana na sababu nyinginezo.. msanii mkubwa wa RnB Whitney houston ni moja kati ya sababu kubwa zilizomfanya yeye leo hii kuwa mwanamziki.... katika talk show ya Elle aliyoifanya hivi karibuni anasema mara ya kwanza kumuona Whitney houston ni siku ambayo alikwenda kuhudhuria tuyo za Grammy's... anasema alishindwa hata cha kuongea kwa kweli... ukiachana na whitney houston Kelly pia alizungumzia nyimbo ya Chris brown, anasema “The song I have on repeat right now would probably have to be Chris Brown’s ‘Beautiful People.’ It’s such an amazing record. As soon as I hear it, I can’t stop moving. And I smile so big and it’s great when music makes you do that.” kaongezea kuhusiana na aalbum yakeya tatu iliyopo studio kwa sasa...I, of course, come from an urban feeling since day one with Destiny’s Child, but now, I’ve kind of opened up the sound a little bit and it has more tempo to it from dance. It feels great,”

Nguo hiyo hiyo but still video imenoga Beyonce.-."Move Your Body"

Dedicating this song to my mother,Diva loveness love and my sister Carolyne Zayumba When I Look At You, Miley Cyrus


This is special for you all,
"When I look at you
I see forgiveness
I see the truth
You love me for who I am
Like the stars hold the moon
Right there where they belong
And I know I'm not alone"

Nilikuwa nabaguliwa kwa mwili niliokuwanao-Jennifer Hudson

Mwanamziki wa RnB Jennifer Hudson akizungumza na Britain's Grazia magazine amesema kuwa mwili alikokuwa nao hapo mwanzo ulimfanya kuwa anabaguliwa katika mambo mbalimbali yalihusu burudani ndani ya Hollywood, kupitia magazine hiyo hiyo Jen amesema kuwa amefurahishwa na positive respond aliyoipata kutoka kwa Beyonce na alicia keys juu ya mwili alionao kwa sasa. jennifer anasema, "last week i saw some footage of myself as i was five years ago and i was suprised, it was like i recognize myself but i didnt, it seemz another world away. but in this slim world i do now realize i was being descriminated against. am offered more parts. there is more excitiment about me now"

Monday

Ambao hamkuweza kufika katika Style motomoto fashion show .. updates kwa ufupi.





Mbunifu Kemi Kalikawe akiwashukuru wadau kwa kuhudhuria show.. na huo juu ndio ubunifu wake...
Model Alexia in Farha Sultan Design
Sasha in Farha Design
Mbunifu Farha akionesha mbwe mbwe zake.......
Founder wa TMH akimpongeza Farha Sultan kwa kazi nzuri..
Wadau mbali mbali wa Fashio Tanzania wakilifuatilia kwa makini Onyesho hili...

Beyonce looks fierce on this shoot....

Beyonce looks fierce on the balcony of the Hotel Ritz as she poses for a Harper's Bazaar photo shoot
Photography ilifanywa na Bauer Griffin


She is Back.....on Covers

Kamwe binadamu hatuchoki kufanya kile tukipendacho.. Mwanamitindo wa Dunia Naomi campbell ndio amekuwa covergirl wa Vogue magazine ya june 2011 nchini Japan... I kinda like this cover

Thursday

Dina Marios,Geha na Suzy wakiwa katika kipindi asubuhi ya leo

Geha Habibu mama Wa heka heka akiwa anasoma ujumbe wa moja ya Wasikilizaji wake..
Umekuwa ukimsikia Suzy mara nyingi katika kuweka vionjo wakati wa chachandu... haya ndio huyo hapo kabla hajapandwa na mizuka.

Mara nyingi Dina marios anakuwa makini kwakuwa yeye ndio brand manager.. hivyo umakini unatakiwa ili kuleta kile ambacho wengi wa wasikilizaji wanapenda..


Mbwembe za Suzzy pale chachandu linapokolea... nawaonjesha mengi mazuri yanayotokea studio..

Dina akipitia baadhi ya mesage ambazo huwa zinatumwa na wasikilizaji wakati wa kipindi....










Kutoa ni Moyo na wala Sio utajiri Ulionao....

Mpangilio wa picha sio mzuri sana lakini naamini ukisoma maelezo tutaelewana na tutakwenda sawa.. kupitia ukurasa wangu wa Facebook wakati wa kwaresma niliomba watu mbali mbali tuungane pamoja katika kwenda kutembelea kituo cha watoto yatim ana baada ya hapo sikuliongelea tena swala hilo.. ile safari ilifanikiwa kwa msaada mkubwa wa dada yangu kipenzi Margareth ambaye ndio alikuwa msimamizi wa kila kitu akisaidiana na watu wengi cant mention all of you but katika picha wanaonekana.. tar 9 april tukafunga safari mpaka mbagala zakhem ambapo kuna kituo kinaitwa Kwetu mbagala Home.... ni kituo kinachotunza watoto wa kike tu kuanzia mwaka mmoja mpaka 15..

Tulijitahidi kupata chochote ili tuweze kula lunch na watoto hawa na kweli iliwezekana...si mbaya mtoto akipata chakula na tunda bila kusahau kinywaji....

Dada mwenye blouse ya pink ndio alikuwa mwenyeji wetu kwa siku hiyo maana wahusika walikuwa wametoka kwenda kufanya shughuli nyinginezo za kuimarisha maisha ya watoto hawa kwa kipindi chote watakachokuwa kituoni..
Wenye magari walijitokeza kwa wingi kuhakikisha tunafika salama na kwa haraka kuliko tungetumia public transport.. asanteni sana...






Mlo wa mchana kwa pamoja


Mr&Mrs watarajiwa wakipata mlo na bro Faraji kwa nyuma akidoea picha.

ubovu wa maeneo ya michezo...

Tusiangali mazuri tu waliyonayo watoto hawa.. kubwa ambalo nimeliona hapa ni uchakavu wa maeneo ya michezo na moja ya bembea unaiona hapo ikiwa imelala pembeni kwa kuvunjika.. natamani ningepata mfadhili akanisaidia kuimarisha maeneo haya ya michezo kwa watoto hawa maana naamini michezo ni sehemu ya makuzi ya watoto hawa.. plz aliye na chochote tusaidiane katika hili..

Moja ya swala wanalopewa mkazo zaidi watoto hawa ni kuwa wasafi kuanzia mazingira ya wanapolala mpaka wao binafsi..

ki ukweli watoto hawa ni wasafi na wanafuata maagizo wanayopewa na walezi wao.


Wana umeme wa solar endapo umeme wa tanesco ukikatika....

group picture1

group picture mimi nikiwa cameraman wao....

group picture ilikamilika.

Kweli binadamu ni mtoto hata akiwa na ndevu nyeupe.. watu wazima na akili zetu baada ya kuona bembea tukaiparamia kwa pupa...wenye kilo chache tulikuwa tunawarusha juu kama upepo..

Kimmly dada yangu alivamia shamba la watu kwa mbwe mbwe kama anajua kuchuma mboga kumbe hana lolote...

Kiongozi wa safari yetu dada Margareth alipata nafasi ya kusema machache kwa niaba ya watu wote alioongozana nao...

Vile vidogo tulivyokuja navyo ndivyo tulivyowaomba watoto wetu wapokee..


Elimu ndio zawadi pekee ambayo mtoto anaweza kupewa na wazazi wake au walezi wako na ikadumu kwa maisha yake yote.. hivyo tulidhani vifaa vya elimu ni bora zaidi kwa watoto hawa..

Kidogo hichi hichi tulichonacho tugawane na wale wasionacho

Mwisho wa kazi hii tuliyotumwa na jamii yetu nilijipatia mchumba... anaitwa Predigander... she is a very nice girl... anajua nini thamani yake kama mwanamke si mnaona kajifunika nywele hapo?



Hii sio safari yetu ya mwisho nitajitahidi mimi na wale wenye moyo wa kuboresha maisha ya wenzio wasiojiweza kwa pamoja kuhakikisha tunasaidiana kwa kile kidogo mwenyezi Mungu alichotujalia maana leo ni kwao na kesho yaweza kuwa kwangu au kwao... ya Mungu mengi..Amen