
Geha Habibu mama Wa heka heka akiwa anasoma ujumbe wa moja ya Wasikilizaji wake..

Umekuwa ukimsikia Suzy mara nyingi katika kuweka vionjo wakati wa chachandu... haya ndio huyo hapo kabla hajapandwa na mizuka.

Mara nyingi Dina marios anakuwa makini kwakuwa yeye ndio brand manager.. hivyo umakini unatakiwa ili kuleta kile ambacho wengi wa wasikilizaji wanapenda..

Mbwembe za Suzzy pale chachandu linapokolea... nawaonjesha mengi mazuri yanayotokea studio..

Dina akipitia baadhi ya mesage ambazo huwa zinatumwa na wasikilizaji wakati wa kipindi....
No comments:
Post a Comment
sema tukusikie